Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

beth

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,075
Likes
1,647
Points
280
beth

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,075 1,647 280
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForums

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan
Sasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
 
beth

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,075
Likes
1,647
Points
280
beth

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,075 1,647 280
Sidhani kama kwenye operation wanaweza kutaja maneno au abbreviation zinazotumika kwenye matumizi ya kila siku.
Sio lazima (SAI) iliyotajwa kwenye operation iliyovuja iwe (SAI) unayoiongelea wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunahoji.
Kama unafahamu lolote, karibu.
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,283
Likes
3,131
Points
280
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,283 3,131 280
Opereshen inapofanyika huwa kuna code maalumu kuficha ujumbe flani kwa watekelezaji na watekelezaji wote huwa wanaweza kuzivunja hizo code.

Code inatumika ili wewe uliebahatika kukutna nayo ambae haikuhusu usielewe yani kama wewe hapo tayar hujaelewa (SAI) ilimaanisha nini

SAI hii inaeza kuwa ni sehemu ambayo mlengwa angekuwapo, au alitarajia kuwapo,ama wao walikuwa wanaelekezana wapi pa kufanyia jambo lao....

So usihusishe hii inshu na CAG kirahisi hivyo mkuu
 
Sungusela

Sungusela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
687
Likes
474
Points
80
Sungusela

Sungusela

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
687 474 80
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForumsSasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
We achana na Zitto! He is an extreme opportunist and polical distorter in chief ! Hana hata chembe moja ya uzalendo na angefurahi nchi ichafuke kwa vurugu yeye akila raha (a.k.a Bata) Burundi! Au majuu !
 
beth

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,075
Likes
1,647
Points
280
beth

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,075 1,647 280
Opereshen inapofanyika huwa kuna code maalumu kuficha ujumbe flani kwa watekelezaji na watekelezaji wote huwa wanaweza kuzivunja hizo code.

Code inatumika ili wewe uliebahatika kukutna nayo ambae haikuhusu usielewe yani kama wewe hapo tayar hujaelewa (SAI) ilimaanisha nini

SAI hii inaeza kuwa ni sehemu ambayo mlengwa angekuwapo, au alitarajia kuwapo,ama wao walikuwa wanaelekezana wapi pa kufanyia jambo lao....

So usihusishe hii inshu na CAG kirahisi hivyo mkuu
Nimekupata vema mkuu. So, inawezekana ishu ya CAG ikawa ni coincidence tu, siyo?
 
B

Beem

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
701
Likes
942
Points
180
B

Beem

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
701 942 180
Operation za kuua huwa haziwi wazi namna hiyo ni mwendo wa code ambazo wahusika wenyewe ndio huelewa sio kifupisho cha majina halisi.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
5,298
Likes
10,479
Points
280
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
5,298 10,479 280
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForumsSasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
Barua ya Zitto kuomba usuluhishi kati ya Spika na CAG ilim-refer CAG kama SAI, nilivyoona vile nikajiuliza ilikuwaje Zitto naye akajiita SAI kwenye ile tweet?

Anyway, nikasema itakuwa na maana nyingi.
 
beth

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,075
Likes
1,647
Points
280
beth

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,075 1,647 280
Barua ya Zitto kuomba usuluhishi kati ya Spika na CAG ilim-refer CAG kama SAI, nilivyoona vile nikajiuliza ilikuwaje Zitto naye akajiita SAI kwenye ile tweet?

Anyway, nikasema itakuwa na maana nyingi.
Kuna watu wanasema haiwezekani operesheni ya kumnyamazisha mtu ikawa open kiasi hicho.

Sasa cha kushangaza, ni nani kwanza alikuwa anajua kuwa SAI ni CAG?

Isitoshe wanasahau kwamba kuna rogue operations kwenye kitengo pia. Usikute wanalinganisha vitengo vya hapa na vile waanavyotazama kwenye series.. Perfectionists!
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,467
Likes
29,589
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,467 29,589 280
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForumsSasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
Ni wazi Zitto alipokea ujumbe na akawa anaufikisha kwa wahusika kuwa mpango unajulikana.

Less

Do you suggest Zitto ni ndumila kuwili?
 
C

chige

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
8,325
Likes
15,876
Points
280
C

chige

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
8,325 15,876 280
Operation Code Name: Mzizima 2... Vita ya Mwisho Kuleta Nidhamu
Target Code Name: SAI...
Goal: Kumnyamazisha SAI

Simple like that!

Huyo Ndugai ndo anataka kuwachanganya watu kama tunavyojaribu kuchanganyana hapa!!! Hivi hushangai of all days, SAI for CAG ianze kupata umaarufu hivi sasa?!

All is to discredit Zitto's SAI stuff!

Itoshe tu kusema kwamba, kuna njia kadhaa za kumnyamazisha CAG kuliko kumtumia Ndugai, kwa sababu, CAG ni mwiba kwa serikali na sio kwa bunge!
 
B

Beem

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
701
Likes
942
Points
180
B

Beem

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
701 942 180
Kuna watu wanasema haiwezekani operesheni ya kumnyamazisha mtu ikawa open kiasi hicho.

Sasa cha kushangaza, ni nani kwanza alikuwa anajua kuwa SAI ni CAG?

Isitoshe wanasahau kwamba kuna rogue operations kwenye kitengo pia. Usikute wanalinganisha vitengo vya hapa na vile waanavyotazama kwenye series.. Perfectionists!
Kanuni ni zile zile duniani kote
 
H

Herr muller

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
792
Likes
883
Points
180
H

Herr muller

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
792 883 180
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForumsSasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
There are 2 probabilities my dear sister here, 1 it might be true what zitto is saying coz if you rember hon tundu lissu before he was attacked he had issued such info and we never took him serious, 2 it might aslo be a diversion strategy by speaker ndugai to summon the CAG, coz the speaker knows very well such a summon is and will draw attention from the public and other parties, so either one of the 2 i still beleive what hon zitto said, this gava of jiwe is full of evil and murderers, be blessed
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891