Utasema umekutana na bwawa😂😂😂 simple kabisa kama hawatakuamini wawnde wenyewekuharibiana kazi sa si tunaenda kuriport nn
Utasema umekutana na bwawa😂😂😂 simple kabisa kama hawatakuamini wawnde wenyewekuharibiana kazi sa si tunaenda kuriport nn
Ben saanane.
Kama ni mjanja atastuka na kuachana na kuchukua hela za wazungu arudi nyumbani, aombe ulinzi polisi na UW awape kazi ya kuwafuatilia hao wazungu, ingawa wanaweza kumpiga risasi kummaliza ili kupoteza ushahidi, hapo kazi anayo
Zinafanya kazi si umeona rada zake zimegunduaKwani tunguli zake hazifanyi kazi?
kwa hiyo hatalindwa? na wewe kuna siku hutalindwa wakisema nyuma geumana wakimmaliza....bado wasiowaza nje ya box watasema ni serikali
adui katulia mahali fulani
😂😂😂Zitto acha kucheza na akili za watu....ww wakumalize ili iweje...ww ni puppet ndani ya upinzani..na inajulikana hivyo..acha kutupotezea muda
Watu wanaompinga Zitto ni wanafiki na huo ndiyo mwanzo wa hiyana.Lissu alilalamika hivi hivi watu wakapuuza jamaawakafanya yao na hakuna kuulizwa wala kutafutwa
Mbona wewe hutaki kurudi kwenu Mogadisu
Hukumbuki (NYOKA AKIINGIA SHAMBANI KWAKO LAZIMA UMGONGE AFE ASIPOKUFA ATAFIA MBELE?)I hope it’s not true.
Lesson to learnInawezekana kabisa maana ya Lissu yalianza hivi hivi.
Hata Ben Saanane ilikuwa hivi hivi na mpaka leo hajulikani alipo.
Zitto amekuwa akivujisha mambo mazito na sijawahi sikia kakamatwa au kushitakiwa kwa kuchafua watu fulani zaidi ya kushitakiwa hivi karibuni.
Kama madai haya nayo ni ya kweli kama tulivyoona kwa Lissu, basi kuna watu/mtu (mhusika wa mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Kwa maneno mengine, kama madai haya ya Zitto yana ukweli na siri zinavuja kama hivi, basi wahusika wajitafakari sana kama wako pamoja(wote wanaridhika na matendo haya).
Huu ugonjwa mliokuwa nao inabidi utibiwe mapema tu. Kwani huo ugonjwa wenu ni mbaya na una ambukiza. Ugonjwa wenu unaitwa unafiki.Zitto acha kucheza na akili za watu....ww wakumalize ili iweje...ww ni puppet ndani ya upinzani..na inajulikana hivyo..acha kutupotezea muda
Alitoa taarifa kituo gani cha polisi?Lissu alipotoa taarifa ilisaidia kitu gani,hao unaopaswa kuwapa taarifa they're part and parcel ya uovu husika.
Nasema hivi acheni UPUMBAVU. Nendeni mkatoe maelezo polisi kama mko serious. Au mwambieni awatajie hao wanaotaka kumuua.Sawa lakini hii sio mara ya kwanza wanaharakati kuanza kunyemelewa mpaka inafikia kuuwawa,kulawitiwa,kutekwa,kupotea,kukoswa koswa kufa endeeleeni kutuona waTz wapumbafu ila ipo siku mtaona mnachokipanda mioyoni mwa waTz wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmechoka we na nani?Time to silence Magufuli na makonda as well tumechoka sasa owe tit for tat