Kwa taarifa yenu kama mnahitaji hii nchi ivuje damu kwa vizazi vinnr mfurulizo, aseee guseni huyu bwana mdogo.
Sikufichi nayaandika haya nikiwa na hasira,
Huwa ninatofautiana na huyu bwana mdogo katika mitizamo na namkubali katika harakati zake lakini hii haimanishi tunaugomvi nae. Mjue huyu alitunukiwa kuwa mwami kigoma hivyo haijalishi kafanya nini huyu ni icone ya kigoma.
Siku fichi tumeamua kuzika mizim na historia ya kigoma ili tuendane na matakwa ya dunia ya sasa hasa Tanzania,
Likitokea la kutokea kwa huyu bwana mdogo ndio mtajua hili jina Tanzania liko mabegani mwa waha.
Naomba nisitumie kigoma nitimie ukabila kabisaaaa WAHA
Sikufichi hii nchi tutaitua dhidi ya majanga mengi tutaruhusu kila aina ya vitu tulivyovihifadhi.
Mguseni.
Mwami wachu KABWE
Subhila imuhila hakilikale, ingo utubwile neza. Abha bhinyenzi bhagomba kuzana ubhuyima ingo utulekule tulekule vyiwachu.
Siwafichi, hili niko na hasira nikiwa muumini na mtunza hazina za mababu wa kiha. ATHUBUTU MTU KUMFANYIA KITU.
Hivi mlikwishajiuliza kwa nini TANZANIA BARA inaitwa TANGANYIKA??
MKITAKA KUJUA HILI WALAHI MGUSENI HUYU MWAMI.
KWENU MNAMWITA ZITTO ZUBERI KABWE,
SISI HUKU KWETU TUNAMWITA MWAMI WI NTALA ( HUYU NDIO MTAWALA WA TANGANYIKA)
HASA KATIKA MIZIMU NA UGANGA, PIA AMEPEWA MAMLAKA YA KICHAWI YENYE ASILI YA KIGOMA.
HAMUAMINI HILI MUULIZENI MDHIHILI NA ANDREW CHENGE,. MUULIZENI MKAPA
MUULIZENI NYERERE KWA WALIOSHUHUDIA SUALA LA NYERERE.
ZITTO RUDI HARAKA, NA KWENYE MUANDAMO TUTAKUWA NA KIKAO KAMA HIZI TAARIFA NI ZA KWELI,
IKIWEZEKANA NCHI IPITIE KIPINDI CHA MPITO.
TANGANYIKA NI YA KWETU KUPITIA ZIWA TANGANYIKA, TUNAYO MAMLAKA JUU YA DAMU ZOTE ZA TANZANIA BARA,
HIYO SIRI UCHUKUENI
( MWAMI NDASAVYE IKIGONGWE NDAYAGAMVYE UTARUTUBWIRA NEZA, INGO UTUBHALILE IZO NKECHURU TUZIKUBHULE)
Huyu mtoto nae anatapatapa tu..ye si alisema watakuta bwawa..sasa kelele za nini??wanasiasa kweli wameishiwa kazi za kufanya
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app