Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujakusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Sasa naanza kuelewa wakati wa Ben saa nane mlisema haya haya mane o na kwa lisu hivyo hivyo Leo kwa Zito nako mnatupumbaza..... watazaliwa wengi akina Zito
 
You said not to bring stuff from USA and here you go..
USA is people here in Tanzania is TISS aka watu wasiojulikana.
And in USA it is not condoned so we shouldn't here also.

Ok
But, how do you know that TISS is watu wasojulikana?
 
Watu ambao kila wakiongea wanamtaja Mungu ni watu hatari sana jina la Mungu wanalitaja tu ili waonekane ni wema kumbe ni wauaji wakubwa. Kwenye utawala huu kuna watu wawili kila wakiongea wanajifanya kumtaja sana Mungu kwa kisingizio cha kumtanguliza Mungu mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjue kuwa hakuna Rais ambaye hajawahi kuua!

Marais asilimia kubwa kuua ni lazima pale akiwepo mtu anayeweza kukwamisha mipango ya Rais kwa maneno mengi, kelele zisizo na faida..

Mimi sijui kama zitto ana kelele, sema kitendo cha yeye kuzungumza bila mipaka ndyo kinaweza kupelekea umauti wake.

Kwahyo msishangae Rais aliyeko madarakani watu wake kuuawa au kupotezwa, kutekwa nk, ni principal zao.

Zitto awe na mipaka, na kikubwa sioni kama kweli ni wanaharakati, mwanaharakati haogopi kufa, kwahyo Zitto usiogope kufa, kufa ni hatua katika maisha.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo zitto awe makini si apunguze tu kiherehere chake mambo ya kujifanya Martin Luther wa Tanzania ataitia simanzi familia yake bure aisee. Nikikumbuka saanane, Tundu lissu kah

Sent using Jamii Forums mobile app
Oh Lord!!

We need these Viherehere to keep the country on the right lane!

Hivi ulishawahi kujiuliza tungekuwa wapi bila ya hao Viherehere?! Labda nikukumbushe tu kwamba, hata hili la Vikokotoo ambalo leo hii majuha wanaandamana kumsifu JPM, ni matokeo ya kazi mzuri ya hao hao Viherehere!!

Jambo la Vikokotoo lilitokea SSRA, likaenda kwa Waziri husika! Kwa issue kama hiyo, ni lazima lilijadiliwa na Baraza la Mawaziri ambalo Rais ndie Mwenyekiti!

Likapita!

Viherehere, na kiherehere wa mwanzoni kabisa kupinga kile kikokotoo ni huyu huyu ambae unamtaka awasaliti Watanzania ili asije kufa!!

Kufa lazima tutakufa tu Mpendwa!! Choice ni yako kufa ukiwa umepiga magoti unaomboleza au kufa ukiwa unapambana!

Kuliko kufa huku amepiga magoti, super Kiherehere Zitto Zuberi Kabwe amechagua afe akiwa anapambana! Sio kupambana kuipigania familia yake au yeye mwenyewe; bali akipambana akinipigania mimi na wewe pamoja na familia zetu kwavile hatutaki kuwa Viherehere!!

Anyway, I like your ID cariha!!
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujakusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Mavi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa

Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha,

kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.

Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium
Pumbaaaaaaaaavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajitekenya wenyewe, yaani mtu anatumiwa na wazungu, wanampa hela kuichafua serikali, wazungu wakiona amefikia climax basi wanaunda kikundi wanajifanya wana usalama, wanafanya vikao then wanamtuma mmoja wao kuvujisha siri kwa mhusika mla hela za wazungu, mtu huyo anaamini ni serikali anakuja twitter kusema kuna mpango. Wakati huo wazungu wanampa pumzi kwa kumuongezea dau mhusika anazidi kuichafua serikali, anapata misukosuko mikubwa kwa sababu anavunja sheria, basi wazungu hao wanafanya timing wanamtwanga risasi mhusika. Hivyo zzk aache uzuzu, kila kitu kinajulikana, hao wazungu watawamaliza enyi pimb


Hii theory hai work kwa Zitto,

ila ime work kwa Lissu
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan

Hivi kwa mawazo yake huyu mpuuzi ni nani anaeweza kumuua, kwa lipi hasa? Mtu sio raia wa nchi hii. Amepata bahati ya kuishi katika nchi ya amani ila yeye analeta mambo ya kwao wanakopenda kupigana muda wote.
Hizo ni kiki za kujitafutia umaarufu kwa kuwa asipoongea hakuna mwenye time nae. Zitto, lissu na wengine wajinga kama yeye, risasi yao ni moja tu kama mtu ana nia ya kuwaondosha. Na wala sio ya kelele kelele hivo. Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto acha kucheza na akili za watu....ww wakumalize ili iweje...ww ni puppet ndani ya upinzani..na inajulikana hivyo..acha kutupotezea muda
 
Hii theory hai work kwa Zitto,

ila ime work kwa Lissu
Kama ni mjanja atastuka na kuachana na kuchukua hela za wazungu arudi nyumbani, aombe ulinzi polisi na UW awape kazi ya kuwafuatilia hao wazungu, ingawa wanaweza kumpiga risasi kummaliza ili kupoteza ushahidi, hapo kazi anayo
 
Back
Top Bottom