funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Atoe ushahidi wa jinsi Sirro alivyomteka na awape ABC ndugu wa MO.Yeye keshasema Sirro anajua alipo.
Atoe ushahidi wa jinsi Sirro alivyomteka na awape ABC ndugu wa MO.Yeye keshasema Sirro anajua alipo.
Huna akili, si umeambiwa aliko? Sirro mwenyewe kajilipua leo, kamlipua na huyo dikteta mshenzi asiye na chembe ya aibu..Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Nashauri familia ya MO imuombe zitto kuwaelekeza alipo au pengine imuongezee dau ili afunguke.
Apeleke kwa familiaApeleke kwa familia au polisi.
Naunga mkono hoja ila sio kwa asilimia zoteMO yupo, ila inatafutwa namna ya kumrudisha, hawawezi kumuua, muda si mrefu watamwachia kama atakubali mambo fulani fulani
ABC ndo kitu gani, umeambiwa Mo yuko kwa Sirro na huyo mpuuzi wenu aliyemtuma!Atoe ushahidi wa jinsi Sirro alivyomteka na awape ABC ndugu wa MO.
Zitto ameshawasiliana na familia ya MO kuwaeleza?au anataka hadi dau lifike bilioni 2?Huna akili, si umeambiwa aliko? Sirro mwenyewe kajilipua leo, kamlipua na huyo dikteta mshenzi asiye na chembe ya aibu..
Mnapiga picha gari nyumbani kwa mtu mnadai ndo mtekaji wa Mo? Pumbavu kabisa!
Namba za Simu za familia hamjaziona?ABC ndo kitu gani, umeambiwa Mo yuko kwa Sirro na huyo mpuuzi wenu aliyemtuma!
Stupid, mkojo unawatoka!Zitto ameshawasiliana na familia ya MO kuwaeleza?au anataka hadi dau lifike bilioni 2?
Stupid!Namba za Simu za familia hamjaziona?
Matusi sio hojaStupid, mkojo unawatoka!
Povu la nini?pelekeni taarifa polisi na kama hamuiamini pelekeni kwa familia ..huku mtandaoni msitarajie kiki.Stupid!
Dahh , hizo CCTV hatari mkuu,Awaambie mara ngapi?View attachment 903384
Ngoja nikupe like tu coz unalazimisha kutoa elimuPata elimu bure kabisa,hizo ulizoona zinawaka ni taa na si CCTV(Closed circuit Television)!
Ulipochunguza uliona CCTV,ila ungrchunguza zaidi ungeona mwanga unapotokea na si kwenye hizo CCTV!
Ngoja nikupe na mfano,ni kama zile camera unazobandika flash light!Huwezi ukaona mwanga ndio useme ni camera!Geuza hata simu yako,angalia kuna sehemu ya camera na sehemu ya tochi inayosaidia kumulika!
With that said,ulipokuwa ukisogea na taa kuwaka,hizo zilikuwa taa tu za kawaida,ulipochunguza zaidi ukagundua pia pamoja na taa,kuna CCTV pia!!!!
Kama hujaelewa,naacha ualimu!!!!
Ahhhhh, kumbe jingalaoKama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Nashauri familia ya MO imuombe zitto kuwaelekeza alipo au pengine imuongezee dau ili afunguke.
Mkuu, hii habari iko humu, muogope Mungu, hakuna sehemu alipotaja kuwa hiyo gari baada ya kumteka ilitoka nje ya nchi, data walizo nazo ni kuongia kwake...Mkuu, wewe ndiye hukusikiliza.
I heard him loud and clear ......... sasa kama gari haijavuka mpaka, hao Interpol wanaowasiliana nao ni wa nchi gani!!?
Pamoja sana!Ngoja nikupe like tu coz unalazimisha kutoa elimu
Z
Kwani huko njiani hakuna raia wema ambao nyumba zao Zina CCTV ambao walitoa ushirikiano kwa Jeshi la polisi gari hiyo kuiona imepita maeneo yao? Zitto anaona kama kazi kubwaa.Wenye nyumba maeneo hayo aangalieni CCTV zenu mkiona hiyo gari kwenye rekodi pelekeni ripoti kwa siri haraka Na ushahidi wa CCTV polisi
Jiridhishe na hii mkuu, Tuliweza kulitambua gari. Tumefuatilia CCTV Camera na tulibaini kwamba baada ya gari kutoka Colosseum liliingia kwenye barabara ya Ally Hassan Mwinyi kuelekea 'round about' ya kwenda Kawe , tunafuatilia kama walienda Silver au Kawe.Mkuu, wewe ndiye hukusikiliza.
I heard him loud and clear ......... sasa kama gari haijavuka mpaka, hao Interpol wanaowasiliana nao ni wa nchi gani!!?
