Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
The point is not credibility ya Mwanahalisi or who has written the issue... The issue ni nini kilichoandikwa, je ni cha kweli? na kina madhara gani?...... hapa tukianza kuangalia mleta hoja badala ya hoja yenyewe tutakuwa tunaelekea pasipo.
Sasa kama mleta hoja mwenyewe ni fraud journalist then why bother kusoma alicho andika? Journalist ni taaluma kama uchumi, and Kubenea hajapata trained ya kufanya hilo. Ndio maana anaandika immatured story zake ili kuharibu credebility ya mtu na kudrive sales up. Huitaji kwenda Havard kuona hilo.
Cheap journalist ndio hii. Kama kubenea anataka kuzungumzia undani wa habari hii, basi alitakiwa kuchukua step moja mbele nayo ni wiretaping the information ambazo wawili hawa wameongea, inabidi atumie muda kudevelop story hizi. Sio, kuja kuandika kwamba xxx ameonakana na mke wa bbb so wawili wale ni wazinifu. Are you kidding me? Kufanya journalism base on logic ni ujinga, kwamba If A=B and B=C then A=C. I hope we all understand the danger of this nazi journalism.









