Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
Mkuu Omar my Ushauri ni kwamba Ieleweke kwamba Zitto kama kuna Tanzania anayoita basi Kisingiti Kikubwa kwake ni Rafiki zake ambao wako Tayari kumtetea kwa kila Jambo! Elewa Zitto afike huko anakotamani kwenda ni lazima akubali kwamba Anawahitaji akina Mbowe, Slaa, mnyika na wengine tu Ambao Watanzania wengi wameshajenga imani kwao

Ila kama Zitto/Mbowe pamoja na Rafiki/Wapambe wao wanaamini kwamba wao (Single handed yaani kama Maradona) ndio waliokipa Chama Umaarufu basi inabidi wafanye tena home work zao
 
This is ridiculous; hivi kila mtu afuatilie nani anazungumza na nani? Mbona sisi wengine basi tungekuwa na hatia by phone records!

Mwanakijiji usitake kutuaminisha kuwa habari hii ni kitu kidogo sana na tuidharau!! Zitto anazungumza na watu wengi sana, lakini jiulize ni kwanini anapozungumza na Rostam iwe habari?

Habari hii ya Zitto haina tofauti na habari iliyotanda ulimwenguni mwote July 2009 iliyokuwa na kichwa cha habari "Obama and Gaddafi shake hands at G8 dinner". Kwa jamii inayomzunguka Obama, Gaddafi si mtu mzuri, na ni mtu asiyeaminika. Kwa hiyo suala la Obama kupeana mikono na Gaddafi ni jambo la kushangaza sana kwa jamii ya Wamarekani!!

Kwa upande wa watanzania, Rostam si mtu mzuri, na ni mtu asiyeaminika, na tena ni mtu aliye tayari kuona biashara yake inafanikiwa lakini sio taifa kufanikiwa! Sasa inapotokea Zitto Kabwe (mtu anayeaminiwa na watanzania) anawasiliana na mtu wa aina hiyo six times within a day, hilo si suala dogo, there's something!!

Kwa watumiaji wa simu, ni jambo la kawaida kuwasiliana na mwenzako (kikazi) mara moja, mbili au hata tatu kwa siku! Inapozidi tatu inamaana kuna kitu (kazi) mnafanya pamoja na inahitaji close follow-up na updates za mara kwa mara! Sasa swali la kujiuliza Zitto Kabwe alikuwa anafanya kazi gani na Rostam Aziz yenye kuhitaji close follow-up na updates??

Leo hii hatutaki kuhisi lolote juu ya Zitto Kabwe, lakini aelewe "time will tell"
 
Nasema hivyo kwa kuwa najua ni wabunge gani walikataa kufuata mkumbo na ni wapi waliofuata haswa wale wageni Chadema ambao tayari wameshaanza kuona hali halisi ya siasa za chama chao hata wiki haijapita walipopiga kura....Hivi unajua hao waliopiga kura ni wangapi na kina nani?

Hivi unajua kuwa kuna mbunge alifikia kuwafananisha watu wa imani fulani na MBUZI???
ndio zitto alivyokwambia sio?? maana nijuavyo mimi wewe si member wa CDM
 
amani iwe kwenu ma-great thinkers!
hivi leo gazeti la mwanahalisi limetoa ripoti ya kina kuhusiana na maongezi ya simu ya mara kwa mara kati ya Rostam Aziz na zitto kabwe. Hata hivyo gazeti halikuweza kupata mada waliyokuwa wanaongea akina zitto hivyo limetoa tu muda wa maongezi kati ya watu hao. Mfano zitto akitumia simu no. +255756809535 na rostam no. +255754555555 walifanya mawasiliano tarehe 11/08/2010 saa 7:08, saa 22:09, saa22:28, saa 22:49, saa 22:44 na saa 22:45. Wakati mawasiliano hayo ya simu yanafanyika simu ya zitto ilisomeka kuwa yuko uzunguni, dodoma huku simu ya rostam ikisomeka kuwa yuko area d, dodoma. Pia mawasiliano mengine yalifanyika siku mbili kabla ya kikao cha wabunge wa chadema kule bagamoyo huku simu ya zitto ikisomeka yuko ohio, dar. Huu ni mendelezo wa machapisho ya wiki iliyopita kuhusiana na maongezi ya mara kwa mara kati ya zitto na jack zoka (bosi wa tiss).

Hebu tujiulize hivi kweli zitto achukuliwe hatua gani za kinidhamu? Kwa sababu gazeti limemnukuu mama mzazi wa zitto akisema mwanawe ni mkorofi na sii msikivu. Karibu great thinker tujadili.

hahahah, it just occurred to me that jack zoka could be nicknamed Jay Z...kama RO, EL na wengine.
 
Interesting point u have raised. Moja Zitto hasumbuliwi na hiyo kura kwani wengi walipiga hawajajua bado ngoma wanayoicheza. Lakini pia kama alivyosisitiza ni kuwa hajaiomba hiyo nafasi na wala hayuko tayari kuwapa maaudi zake wanachokitaka yaani yeye kujiuzulu. Hilo hatafanya na amewapa nafasi wawakilishe huo ushahidi wanaojidai kuwa wanao midomoni ndio yeye atakuwa tayari kujiuzulu.....on the spot.

.....

ina maana wabunge wote waliopiga kura kutokuwa na imani na Zitto si makini? kwa maneno mengine walikurupuka?

Kaka kumtetea Zitto unahitaji convincing power za ajabu - keep it up.
 
Mkuu Omar my Ushauri ni kwamba Ieleweke kwamba Zitto kama kuna Tanzania anayoita basi Kisingiti Kikubwa kwake ni Rafiki zake ambao wako Tayari kumtetea kwa kila Jambo! Elewa Zitto afike huko anakotamani kwenda ni lazima akubali kwamba Anawahitaji akina Mbowe, Slaa, mnyika na wengine tu Ambao Watanzania wengi wameshajenga imani kwao

Ila kama Zitto/Mbowe pamoja na Rafiki/Wapambe wao wanaamini kwamba wao (Single handed yaani kama Maradona) ndio waliokipa Chama Umaarufu basi inabidi wafanye tena home work zao

Ulishawahi kusikia Zitto akisema kuwa hawahitaji hao wenzake...hivi unajua juhudi alizofanya kuzuia ile kesi ya kudaiwa ya Mbowe kule NSSF ili wasimfilisi? Hivi unajua unajua gharama alizotumia kuwasaidia kisiasa na hasa wakati kugombea ubnge baadhi ya hao wanaompiga vita kutokana na kuthamini umuhimu wao ndani ya chama? Hivi ni lini Zitto amewahi kumshambulia kiongozi wake ama moja kwa moja ama kutumia vyombo vya habari kama wanavyofanya wenzake...Zitto anatambua sana mchango wa Mbowe na hata uwezo wake na hilo hasemi kwa kujificha lakini pal ambako anaona wenzake wanakosea hayuko tayari kuunga mkono huku akijua gharama zake kwa Chadema ama kwa taifa....

Mara ngapi Zitto amefanya jitihada za kupunguza haya malumbano lakini wenzake wanamuona mjinga na kutaka kutumia nafasi hizo kinafiki wakati kwa nyuma wanaendelea na siasa zao za chuki......hivi juzi tu alikuwa hoi hana nguvu anatembea anapepesuka lakini akawa tayari kutoka nyumbani kwenda kukutana nao kuongea kwa zaidi ya masaa matatu lakini wenzake wanaendelea kumuona mjinga.........hawa jamaa hawako genuine...wanadhani kila mtu ni mjinga na watamtumia na kummaliza kadiri watakavyo.....
 
tEAMO... KWAKWELI NIMESIKITIKA SANA JINSI HUYU OMARY ALIVYOPOST

Yaani najuiliza huwa anaamka na kuvaa na kuaga kama mtu mwenye akili timamu au basi tu ni bingwa wa kujipendekeza?? Ukisoma post ya waberoya unagundua kabisa jinsi mmoja alivyo mtu na mwingine ni kijitu

Najua watasema katukana huyo, mpe ban... but it would be because kiswahili ni kigumu

Acid umenena.
Niliwahi pia kumwandika na tabia yake ya kujipendekeza yeye akaita hiyo ni HESHIMA kwa role models wake
 
Ulishawahi kusikia Zitto akisema kuwa hawahitaji hao wenzake...hivi unajua juhudi alizofanya kuzuia ile kesi ya kudaiwa ya Mbowe kule NSSF ili wasimfilisi? Hivi unajua unajua gharama alizotumia kuwasaidia kisiasa na hasa wakati kugombea ubnge baadhi ya hao wanaompiga vita kutokana na kuthamini umuhimu wao ndani ya chama? Hivi ni lini Zitto amewahi kumshambulia kiongozi wake ama moja kwa moja ama kutumia vyombo vya habari kama wanavyofanya wenzake...Zitto anatambua sana mchango wa Mbowe na hata uwezo wake na hilo hasemi kwa kujificha lakini pal ambako anaona wenzake wanakosea hayuko tayari kuunga mkono huku akijua gharama zake kwa Chadema ama kwa taifa....

Mara ngapi Zitto amefanya jitihada za kupunguza haya malumbano lakini wenzake wanamuona mjinga na kutaka kutumia nafasi hizo kinafiki wakati kwa nyuma wanaendelea na siasa zao za chuki......hawa jamaa hawako genuine...wanadhani kila mtu ni mjinga na watamtumia na kummaliza kadiri watakavyo.....

Najua wewe sio CDM umekaa kichonganishi

Jibu hoja, connect dots you will understand who is zitto
 
Kitila,
Bahati njema wewe ni mjumbe wa tume ilyoundwa na kamati kuu. Kila anapoandikwa na Mwanahalisi, Zito amekuwa akirusha lawama kwa Anton Komu. Kamati yenu inapaswa kujua toka kwa Zito mwenyewe kuna nini kati yao kwani wote ni viongozi wa ngazi ya juu.
 
This is ridiculous; hivi kila mtu afuatilie nani anazungumza na nani? Mbona sisi wengine basi tungekuwa na hatia by phone records!

Duh, eti ridiculous? This is scandalous!.... inakuaje kiongozi wa chama kinachopinga ufisadi akawa na mawasiliano ya karibu na fisadi mkuu? Tena mawasiliano haya yanafanyika kwenye nyakati nyeti. Hakuna explanation yoyote inayoweza kuridhisha hapa..

Ni sawa sawa na mfano wewe Mzee Mwanakijiji ukasikia mke wako ana mawasiliano ya karibu na ya mara kwa mara na mwanaume kiwembe ambaye ni mashuhuri kwa kulamba wake za watu. Je, hapo utasema so what?
 
ina maana wabunge wote waliopiga kura kutokuwa na imani na Zitto si makini? kwa maneno mengine walikurupuka?

Kaka kumtetea Zitto unahitaji convincing power za ajabu - keep it up.
Elnino... Omary ameishiwa na hoja sasa analeta viroja, ametukana waliopiga kura wakati anamtetea zitto. anasahau kwamba hapa kabeba bendera ya zitto na hao aliowaona hawana upeo ndio wanaoendelea kuishi na kufanya kazi na zitto.... hajui kama anazidi kumweka zitto kwenye wakati mbaya kimahusiano

kwani hata baadhi ya sentensi ninazosoma ni kama vile katumwa
 
Ulishawahi kusikia Zitto akisema kuwa hawahitaji hao wenzake...hivi unajua juhudi alizofanya kuzuia ile kesi ya kudaiwa ya Mbowe kule NSSF ili wasimfilisi? Hivi unajua unajua gharama alizotumia kuwasaidia kisiasa na hasa wakati kugombea ubnge baadhi ya hao wanaompiga vita kutokana na kuthamini umuhimu wao ndani ya chama? Hivi ni lini Zitto amewahi kumshambulia kiongozi wake ama moja kwa moja ama kutumia vyombo vya habari kama wanavyofanya wenzake...Zitto anatambua sana mchango wa Mbowe na hata uwezo wake na hilo hasemi kwa kujificha lakini pal ambako anaona wenzake wanakosea hayuko tayari kuunga mkono huku akijua gharama zake kwa Chadema ama kwa taifa....

Mara ngapi Zitto amefanya jitihada za kupunguza haya malumbano lakini wenzake wanamuona mjinga na kutaka kutumia nafasi hizo kinafiki wakati kwa nyuma wanaendelea na siasa zao za chuki......hivi juzi tu alikuwa hoi hana nguvu anatembea anapepesuka lakini akawa tayari kutoka nyumbani kwenda kukutana nao kuongea kwa zaidi ya masaa matatu lakini wenzake wanaendelea kumuona mjinga.........hawa jamaa hawako genuine...wanadhani kila mtu ni mjinga na watamtumia na kummaliza kadiri watakavyo.....

ccm inaye mpiga propaganda, TFF wanaye msemaji na zitto naye anachokisemeo kinachosema badala yake. Sijuhi huwa kinajazwa maneno kwa pampu au anakitegesha upepo??!!
 
Thread haijataka ZT aondoke bali inauliza ni hatua gani za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake? Try to understand the meaning of the context.

2010-12-15_1717.png

Tazama unaonekana umechangia hoja za msingi sana hapa JF ndo maana umekuwa thanked mara nyingi sana, hivyo usikubali kupotoka ghafla namna hii Omari! Hebu tuelewane ktk hili!

Hivi nisema mara ngapi kuwa sina mpango na heshima ya mtu kamaheshima hiyo ina sharti la unafiki ama uoga.......Yaani uanzishe thread ya fitina hapa halafu wenzako waje waongezee majung yao halafu utegemee mnyamaziwe.......no, kama nilivyosema, price ya ustaarabu huo ni kubwa sana kama ilivyokuwa mwaka 2005 na katu sitaacha hilo lijirudie...ukileta hoja ama siasa za kiungwana u will get that side of me...lakini mkiendeleza hizi siasa zenu za majitaka usitegemee mkaanyamaziwa........
 
Elnino... Omary ameishiwa na hoja sasa analeta viroja, ametukana waliopiga kura wakati anamtetea zitto. anasahau kwamba hapa kabeba bendera ya zitto na hao aliowaona hawana upeo ndio wanaoendelea kuishi na kufanya kazi na zitto.... hajui kama anazidi kumweka zitto kwenye wakati mbaya kimahusiano

kwani hata baadhi ya sentensi ninazosoma ni kama vile katumwa

Hakuna mtu anayenituma kwani nina akili zangu na kamwe sijaruhusu zishikwe na mtu.......
 
Ulishawahi kusikia Zitto akisema kuwa hawahitaji hao wenzake...hivi unajua juhudi alizofanya kuzuia ile kesi ya kudaiwa ya Mbowe kule NSSF ili wasimfilisi? Hivi unajua unajua gharama alizotumia kuwasaidia kisiasa na hasa wakati kugombea ubnge baadhi ya hao wanaompiga vita kutokana na kuthamini umuhimu wao ndani ya chama? Hivi ni lini Zitto amewahi kumshambulia kiongozi wake ama moja kwa moja ama kutumia vyombo vya habari kama wanavyofanya wenzake...Zitto anatambua sana mchango wa Mbowe na hata uwezo wake na hilo hasemi kwa kujificha lakini pal ambako anaona wenzake wanakosea hayuko tayari kuunga mkono huku akijua gharama zake kwa Chadema ama kwa taifa....

Mara ngapi Zitto amefanya jitihada za kupunguza haya malumbano lakini wenzake wanamuona mjinga na kutaka kutumia nafasi hizo kinafiki wakati kwa nyuma wanaendelea na siasa zao za chuki......hivi juzi tu alikuwa hoi hana nguvu anatembea anapepesuka lakini akawa tayari kutoka nyumbani kwenda kukutana nao kuongea kwa zaidi ya masaa matatu lakini wenzake wanaendelea kumuona mjinga.........hawa jamaa hawako genuine...wanadhani kila mtu ni mjinga na watamtumia na kummaliza kadiri watakavyo.....
ooh my God... mliongea kama marafiki na zitto sasa unayaleta hapa, OMG

this once again prove kwamba unamvua nguo zitto kwamba hana siri, and you make fools like komu wawe wa maana sasa

OMG... chuntama omary, unavua nguo za mwenzako aisee
 
Who is Omar?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom