omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 151
Kwa uwezo wako wa kupambana na hoja nakulinganisha na Malaria sugu! Zito yuko wapi? Kwa nini asije mwenyewe kujibu haya mashambulizi?
Tafadhali tusitukanane. Naomba usinifannanishe a huyo jamaa. Wako wa aina yake hapa kina Quinine, Ubungoubungo, King Solomon, Jerusalem na wengineo ambao wakati mwengine najenga imani kuwa ni mtu mmoja....
Zitto hapaswi kuja hapa kwani hamchelewi kuchakachua hoja zake lakini pia msimamo wake yeye ni kukaa kimya akitegemea wenzake watasoma ujumbe kiungwana lakini labda hajagundua kuwa uungwana unahitaji UTU na utu wengi hawana.....
But Mbona humuombi Mbowe naye aje hapa na sio kujificha nyuma ya vikaragosi vyake......
