Zillionaire Thoughts Collection
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema...
Ndugu zangu wanaJF,
Natumaini wote mu wazima.
Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki kitu cha kawaida!!!
Gharama si kigezo, ninachojali ni hadhi, ubunifu na ubora wa mwisho wa bidhaa. Iwe ya wasanii wa ndani au hata wa kimataifa mradi iwe na mvuto wa kipekee.
Kama kuna yeyote anafahamu wapi naweza pata kitu kama hiki hata kama ni kwa oda maalum tafadhali niongozeni.
Nawashukuru...
Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Wakuu salamuni.
Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona hii hali imeanza kunipa usumbufu mkubwa kwenye maisha yangu ya kila siku. Kuna baadhi ya vitu navifanya kwa kurudia rudia sana kiasi kwamba vinanichosha na kunipotezea muda bila sababu ya msingi.
Mfano nikifunga mlango, baada ya kuondoka nahisi kama sijaufunga vizuri hivyo narudi tena kwenda kuangalia. Wakati mwingine narudia mara mbili hadi tano kuhakikisha tu umefungwa. Pia nikizima switch au vifaa vya umeme, lazima nijiridhishe mara nyingi kama kweli nimezima. Hata nikishaangalia bado mawazo yananilazimisha nirudi tena...
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 π
π₯
Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu β½π₯
Captain Kane, Goal Machine wa England, Sniper wa Bavarians, Number 9 wa Three Lions,The Hurricane anaendelea kufanya mambo kimya kimya huku records zikiongezeka π
π₯
Kane kafikisha mabao hayo ndani ya:
-World Cup 3 tu
-Mechi 12 pekee π₯
Wakati huo
Cristiano Ronaldo:
Baada ya Lionel Messi kupiga show lingine la hatari World Cup, legends mbalimbali wamejikuta wakimmiminia sifa La Pulga mfululizo kama mafuriko.
Ronaldo NazΓ‘rio βDe Limaβ, "The Real Ronaldo" mwenyewe amesema muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweliπ₯
Bingwa huyo wa zamani wa World Cup alisema anashangazwa na jinsi Messi anavyoendelea kukiwasha kila msimu na kwenye World Cup licha ya umri kusogea π₯
Thierry Henry gwiji la soka la Ufaransa naye alisema:
β Leo yuko kwenye kiwango kingine kabisa β π₯
Henry akaendelea kusifia uwezo wa Mchawi wa Rosario kuona mapana ya uwanja...
Netherlands wameweka rekodi mpya kwenye World Cup baada ya kufikisha unbeaten run ya mechi 14 bila kupoteza ndani ya 90 minutes + extra timeπ₯
Rekodi hiyo imevunja ya:
- Brazil waliokuwa na mechi 13 bila kupoteza (1958β1966)
π Muhimu:Rekodi hii haijumuishi penalty shootouts.
Yaani:Mechi zinahesabiwa kama draw ikiwa zimeenda penalties.
Netherlands mara ya mwisho kupoteza World Cup ndani ya 90 mins + extra time ilikuwa 2010 fainali dhidi ya Spain (1β0).
Wakuu hii sasa imekuwa historia rasmi
Lionel Messi amefikisha mabao 16 kwenye FIFA World Cup na kumfikia Miroslav Klose kama mfungaji bora wa muda wote wa World Cup.
Messi kafanya hivyo baada ya kupiga hat-trick dhidi ya Algeria kwenye World Cup 2026. π₯
Cha ajabu zaidi ni kwamba:
-Ana miaka 38
-Sio striker wa asili
Lakini bado amefika juu kabisa ya list ya wafungaji wa World Cup. Kwa sasa wamekaa wote kileleni na mabao 16, ila Messi bado ana mechi nyingine mbele yake⦠maana yake ana nafasi kubwa ya kubaki peke yake juu kabisa mwenyewe bila usumbufu.
Kwa kweli tumeshuhudia zama za...
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup π₯
Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan:
- Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup π₯
- Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo EusΓ©bio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9
Jamaa anadai amerudi sasa "Haters Gonna Hate"π€£π€£π€£
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo.
Mabao hayo:
- Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa.
- Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti.
Ronaldo sasa amefunga kwenye michuano ya World Cup ya:
- 2006
- 2010
- 2014
- 2018
- 2022
- 2026
Mabao yake dhidi ya Uzbekistan pia yamemfanya amefikisha:
- Mabao 145 ya kimataifa π₯
- Ndani ya mechi 230 akiwa na taifa la Portugal
Na anaendelea kuwa:
- Mchezaji mwenye mabao...
VinΓcius Jr ameendelea kuandika historia yake taratibu ndani ya kikosi cha Brazil baada ya kuweka rekodi mpya kwenye World Cup kufuatia ushindi wa Brazil dhidi ya Haiti June 19, 2026 (Friday)
Kupitia mechi hiyo, VinΓcius sasa amefikisha mabao 4 kwenye World Cup na hivyo kumpita Ronaldinho ambaye alimaliza career yake ya World Cup akiwa na mabao 2.
Lakini si hilo pekee;
Nyota huyo wa Brazil sasa pia amefikisha goal contributions 9 kwenye World Cup:
Mabao 4
Assists 5
Hii inamaanisha kuwa tayari amempita KakΓ‘ ambaye alihusika kwenye mabao 8 pekee katika historia yake ya World Cup:
Mabao 5...
Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.
Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Senegal na kuweka jina lake juu kabisa kwenye historia ya France akiwa na miaka 27 tu π₯
Cha kuogopesha zaidi:
-Ana miaka 27 tu
-Tayari ana World Cup
-Tayari ana mabao 16 World Cup
Na bado ana miaka mingi ya kucheza mbele yake.
Kwa speed hii kuna records nyingi sana zinaweza kuanguka...
Lionel Messi ameendelea kuandika historia mpya World Cup baada ya kuwa mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi kwenye historia ya mashindano hayo.
Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Austria,La Pulga AtΓ³mica sasa:
- Ana ushindi 18 wa mechi za World Cup.
- Akimvuka Miroslav Klose aliyekuwa na ushindi 17.
Mbali na hilo:
- El MesΓas,Captain wa Albiceleste pia ameendelea kuongeza idadi yake ya mabao World Cup β½
- Na sasa ameifikisha tally yake kuwa mabao 18π₯
Hivyo kwa sasa Lionel AndrΓ©s Messi Cuccittini:
- Ndiye mchezaji aliyeshinda mechi nyingi...
Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.
Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:
β Nadhani ni ngumu kwa kochaβ¦ nilimuuliza Roberto Martinez off-camera kama Ronaldo ni tatizo kwake, kwa sababu nahisi ni tatizo kidogo. Ukiwa na miaka 41 kuna nafasi moja tu unaweza kuanza uwanjaniβ¦ goalkeeper β
Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa baada ya Ronaldo kushindwa hata kupiga shot on target dhidi ya DR Congo.
Scholes akaongeza kuwa kinachoweza kumuuma...
Aisee huyu jamaa ameshindikana!
Lionel Messi leo ameandika historia mpya baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kabisa kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za World Cup.
Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na:
π«π· Just Fontaine β Ufaransa (1958)
π§π· Jairzinho β Brazil (1970)
Wote walikuwa wamefunga kwenye mechi 6 mfululizo pekee.
Messi alianza mfululizo wake kwenye World Cup 2022 dhidi ya:
β½ Australia
β½ Netherlands
β½ Croatia
β½ France (magoli 2)
Kisha akaendelea World Cup 2026 dhidi ya:
β½ Algeria (hat-trick)
β½ Austria (magoli 2)
β½ Jordan
Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika βThe Cartridge Familyβ (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
π Ni kina nani hao?
π Na wanafaidika na nini?
π Hizi timu nyingine 47 hazijui?
π Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua...
Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani.
Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu ziliwavutia wengi kiasi cha kushika namba moja Marekani na Uingereza, huku ukuuza zaidi ya nakala milioni 4 duniani.
Lakini nyuma ya mafanikio hayo kulikuwa na ujumbe mzito sana.
Safari ya Miaka 7,000:
Uchambuzi wa MaudhuiWimbo huu umeundwa kwa muundo wa kipekee sana, ukisafiri kwa kuruka karne baada ya karne (kutoka mwaka 2525 hadi 10,000) ili kuonyesha jinsi mwanadamu anavyopoteza uwezo...