Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Baada ya Lionel Messi kupiga show lingine la hatari World Cup, legends mbalimbali wamejikuta wakimmiminia sifa La Pulga mfululizo kama mafuriko.
Ronaldo Nazário “De Lima”, "The Real Ronaldo" mwenyewe amesema muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweli🔥
Bingwa huyo wa zamani wa World Cup alisema anashangazwa na jinsi Messi anavyoendelea kukiwasha kila msimu na kwenye World Cup licha ya umri kusogea 🔥
Thierry Henry gwiji la soka la Ufaransa naye alisema:
“ Leo yuko kwenye kiwango kingine kabisa ” 🔥
Henry akaendelea kusifia uwezo wa Mchawi wa Rosario kuona mapana ya uwanja, kuamua mechi kubwa na consistency yake ya kutisha 🔥
Alan Shearer mkali wa mabao wa England yeye baada ya kuona goli la 16 la Messi akaishia kusema tu:
“ Oh my God Messi ”
Hata Miroslav Klose ambaye record yake imefikiwa na Messi alisema hana shida kabisa kumuona La Pulga akiivunja.
Captain wa Albiceleste, Flea Genius, Football Alien, Little Magician na GOAT wa Argentina anaendelea kufanya mpaka legends washindwe kuficha hisia zao.