Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.
Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:
“ Nadhani ni ngumu kwa kocha… nilimuuliza Roberto Martinez off-camera kama Ronaldo ni tatizo kwake, kwa sababu nahisi ni tatizo kidogo. Ukiwa na miaka 41 kuna nafasi moja tu unaweza kuanza uwanjani… goalkeeper ”
Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa baada ya Ronaldo kushindwa hata kupiga shot on target dhidi ya DR Congo.
Scholes akaongeza kuwa kinachoweza kumuuma zaidi CR7 ni kuona rivals wake wakianza World Cup kwa moto mkubwa huku yeye akihangaika🤣🤣🤣
Wakati Ronaldo:
Kwa upande mwingine:
CR7, Mr. Champions League, The Portuguese Machine, Captain wa Portugal na Mnyama wa Madeira ameendelea kuwa mjadala kutokana na performance yake ya hivi karibuni.
Kinachowafariji mashabiki wake ni kuwa jamaa bado anaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram akiongoza kwa 667m followers na pia ndiye mchezaji tajiri kuliko wote.

- Alimaliza first half bila shot yoyote
- Bila duel yoyote ya maana
- Na Portugal wakionekana hoi😅😅
Kwa upande mwingine:
- Lionel Messi alianza kwa hat-trick 🔥
- Kylian Mbappé akaanza kwa brace 🔥