Ronaldo Avunja Rekodi ya Eusébio World Cup

Ronaldo Avunja Rekodi ya Eusébio World Cup

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
903
Reaction score
1,317
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥

Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan:

  • Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥
  • Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9
Jamaa anadai amerudi sasa "Haters Gonna Hate"🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom