Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
903
Reaction score
1,317
Lionel Messi ameendelea kuandika historia mpya World Cup baada ya kuwa mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi kwenye historia ya mashindano hayo.

1782206415994.png
Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Austria,La Pulga Atómica sasa:
  • Ana ushindi 18 wa mechi za World Cup.
  • Akimvuka Miroslav Klose aliyekuwa na ushindi 17.
Mbali na hilo:
  • El Mesías,Captain wa Albiceleste pia ameendelea kuongeza idadi yake ya mabao World Cup ⚽
  • Na sasa ameifikisha tally yake kuwa mabao 18🔥
Hivyo kwa sasa Lionel Andrés Messi Cuccittini:
  • Ndiye mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi World Cup
  • Na pia ndiye mfungaji bora zaidi kwenye historia ya mashindano hayo 🔥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom