Harry Kane ampiku Ronaldo idadi ya magoli Kombe la Dunia

Harry Kane ampiku Ronaldo idadi ya magoli Kombe la Dunia

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
903
Reaction score
1,317
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥

1781763721475.png

Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥

Captain Kane, Goal Machine wa England, Sniper wa Bavarians, Number 9 wa Three Lions,The Hurricane anaendelea kufanya mambo kimya kimya huku records zikiongezeka 😅🔥

Kane kafikisha mabao hayo ndani ya:
-World Cup 3 tu
-Mechi 12 pekee 🔥

1781763769950.png

Wakati huo Cristiano Ronaldo:

  • Amecheza World Cup 6
  • Zaidi ya mechi 25
  • Lakini bado amebaki mabao 8 😅🔥

Cha kuogopesha zaidi:
  • Kane bado ana miaka 32 tu
  • Anaendelea kufunga
  • Na bado ana nafasi kubwa ya kuongeza numbers zake 🔥

Kwa sasa Cristiano Camel anaonekana kujivunia zaidi kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi mitandaoni 😅🔥
 
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥

Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥

Captain Kane, Goal Machine wa England, Sniper wa Bavarians, Number 9 wa Three Lions,The Hurricane anaendelea kufanya mambo kimya kimya huku records zikiongezeka 😅🔥

Kane kafikisha mabao hayo ndani ya:
-World Cup 3 tu
-Mechi 12 pekee 🔥

Wakati huo Cry-naldo:
-Amecheza World Cup 6
-Zaidi ya mechi 25
-Lakini bado amebaki mabao 8 😅🔥

Cha kuogopesha zaidi:
-Kane bado ana miaka 32 tu
-Anaendelea kufunga
-Na bado ana nafasi kubwa ya kuongeza numbers zake 🔥

Kwa sasa Cristiano Camel anaonekana kujivunia zaidi kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi mitandaoni 😅🔥
Wewe na Ronaldo tu kila uzi.Kwani alikufanyia figisu usiwe mbeba jezi wa Kinesi FC?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom