Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
903
Reaction score
1,317
Aisee huyu jamaa ameshindikana!

Lionel Messi leo ameandika historia mpya baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kabisa kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za World Cup.

Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na:
🇫🇷 Just Fontaine — Ufaransa (1958)
🇧🇷 Jairzinho — Brazil (1970)

Wote walikuwa wamefunga kwenye mechi 6 mfululizo pekee.

Messi alianza mfululizo wake kwenye World Cup 2022 dhidi ya:
âš½ Australia
âš½ Netherlands
âš½ Croatia
âš½ France (magoli 2)

Kisha akaendelea World Cup 2026 dhidi ya:
âš½ Algeria (hat-trick)
âš½ Austria (magoli 2)
âš½ Jordan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom