Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Netherlands wameweka rekodi mpya kwenye World Cup baada ya kufikisha unbeaten run ya mechi 14 bila kupoteza ndani ya 90 minutes + extra time🔥
Rekodi hiyo imevunja ya:
- Brazil waliokuwa na mechi 13 bila kupoteza (1958–1966)
📌 Muhimu:Rekodi hii haijumuishi penalty shootouts.
Yaani:Mechi zinahesabiwa kama draw ikiwa zimeenda penalties.
Netherlands mara ya mwisho kupoteza World Cup ndani ya 90 mins + extra time ilikuwa 2010 fainali dhidi ya Spain (1–0).