Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
903
Reaction score
1,317
Vinícius Jr ameendelea kuandika historia yake taratibu ndani ya kikosi cha Brazil baada ya kuweka rekodi mpya kwenye World Cup kufuatia ushindi wa Brazil dhidi ya Haiti June 19, 2026 (Friday)

Kupitia mechi hiyo, Vinícius sasa amefikisha mabao 4 kwenye World Cup na hivyo kumpita Ronaldinho ambaye alimaliza career yake ya World Cup akiwa na mabao 2.

Lakini si hilo pekee;
Nyota huyo wa Brazil sasa pia amefikisha goal contributions 9 kwenye World Cup:
Mabao 4
Assists 5
Hii inamaanisha kuwa tayari amempita Kaká ambaye alihusika kwenye mabao 8 pekee katika historia yake ya World Cup:
Mabao 5
Assists 3

Rekodi hizi zinaonyesha namna Vinícius anavyozidi kuwa sehemu muhimu ndani ya mfumo wa Brazil kwenye mashindano makubwa huku akiwa bado kijana mdogo.
 
ni 3 pia sisi wachezaji kizazi cha gaucho hatukuwa wanyimi wa kusambaza samba ....vitoto vya kileo hivi havitaki kugawa mpira kwa wachazaji wanawaza kuweka rekodi
Dah unajua kuwatetea sana hao wachezaji wa zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom