Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
if ur missing zeutamu NN futili mbali hii thread na uombe radhi
 
if ur missing zeutamu NN futili mbali hii thread na uombe radhi

I didn't snitch on him/her...I didn't investigate him/her...I didn't shut down the site...so what did I do that you perceive to be so wrong? I just posted here what I heard...so what does deleting this thread do? Does it bring back ZeUtamu?
 
Wewe tatizo la zeutamu ni lipi? msifate mkumbo mtajalia tena 2010.....yaani bado tu unampongeza mzushi nyani ngabu kwa tetesi? ama kweli watz tangu 18 mpaka leo ni tetesi bwahahahaha
hey pal
mbona unalalama sana kufungiwa ze utamu???

ofcourse napinga harakati za kuchafua privace za watu hususani kiongozi wa kitaifa. hayo tuwaacwamarekani na wazungu wasio na asili.
 
Zeutamu sasa hivi inapaishwa sana mpaka basi kwenye magazeti.
 
waliotoa thanks woote hapo juu hamnazo kama wewe.......wanatoa thanks kwa tetesi iliyodumu kwa wiki zaidi ya 2? tetesi gani isiyokuwa kweli wiki zoote hizo?....
hao followers wako yaani hamnazo kweli yaani bado wako wame stay tuned bwahahahaha wanasubiri uwape update.......
WEEE NA ZE UTAMU WOTE UKONGA INAWASUBIRI nakushauri utengeneze chupi ya chuma na kufuli lake funguo acha nyumbaniiiii mpaka ukimaliza kutumikia kifungo ndio ukafungulie home coz vinginevyoo babuu wanyapara wata.........................
 
agika hilo ni tusi na kumdhalilisha mwenzako hatupendi mambo haya katika jf tafadhali edit maneno yako au futa kisha mwombe yo yo msamaha kwa matusi hayo ya rejareja
 
agika hilo ni tusi na kumdhalilisha mwenzako hatupendi mambo haya katika jf tafadhali edit maneno yako au futa kisha mwombe yo yo msamaha kwa matusi hayo ya rejareja
nimuombe msamaha nani kwa lipi? taja hapo juu tusi nini? chupi ya chuma au wanyapara? au kufuli? hayo ndo ya zitto bungeni akisema yeye oooh abusive language wakisema wengine mnachekelea hahahhahahahha........
 
Mnaendelea kumpaisha mwanaume zeutamu amewasumbua akili leo hii anaonekana kidume mnapa promo tu atakuja na mpya zeuchungu.
 
hey pal
mbona unalalama sana kufungiwa ze utamu???
nionyeshe wapi nilipolalama zeutamu kufungiwa?
ofcourse napinga harakati za kuchafua privace za watu hususani kiongozi wa kitaifa. hayo tuwaacwamarekani na wazungu wasio na asili.
bwahahahaha ati privacy? bwahahaha yaani mkuu u wise wako uu wapi? mtu kapiga picha za nyuchi kuna privacy hapo? kama hakutaka zionekana asingepiga basi........picha kama zile za nsia mpaka mwanakijiji alipagawa kapiga simu saana MZ.....
 
Jamani mi nisingependa sana hii thread iendelee si kwa sababu hana maana, bali nahofia wachangiaji wanatoa ushahidi mno hapa ambao unweza kutumika kujengea hoja.
serikali ambayo ndio ilitaka ile website ifungwe na mhusika atafutwe na inasemekana amekamatwa, haijatoa tamko rasmi, kwa nini?? na kwanini asifunguliwe mashtaka kwani walikuwa wanamtafuta bila kosa...??
ninachoweza kushauri wana JF ni kwamba mnaweza kutumika kujengea hoja kesi hii wapo watu huweka thread ili kupata ushauri kabla hawajaenda mbele...wanatest the fire...mi nazani tusubiri tamko rasmi kuhusu kukamatwa kwa mhusika huyu...

utetezi kabla ya kesi hujenga ksei ngumu...
 
nionyeshe wapi nilipolalama zeutamu kufungiwa?

bwahahahaha ati privacy? bwahahaha yaani mkuu u wise wako uu wapi? mtu kapiga picha za nyuchi kuna privacy hapo? kama hakutaka zionekana asingepiga basi........picha kama zile za nsia mpaka mwanakijiji alipagawa kapiga simu saana MZ.....

Kama kapiga na hakukusudia kuisambaza hiyo ni mali yake, sasa akitokea mtu mwenye akili fupi akaiiba na kuisambaza bila idhini ya mwenye picha huko ni kuingilia privacy yake na ku-violate maswala ya copyright.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom