Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
ubaya wa zeutamu ni upi? usiniambie nika google au unipe link....sema wewe ujuavyo ubaya wa zeutamu ni upi?
huo mtandao ulikuwa unatumika vibaya kwa mtu binafsi akiwa na chuki na mtu flani anatuma picha na kucomments mambo mabaya hata ya uongo chini yake ,huoni hiyo ni kuharibu muonekano wa mtu na kuingilia uhuru wake? japo wengine walikuwa kweli wanatabia hizo lakini ukweli ni kwamba its no body's business, kwa mfano wewe umejandika hapo kwenye status kwamba yo yo loves shoriz, tunajuaje labda unapenda mijimama ikuleee na kukuhudumia, labda unapenda vitoto vya shule kama babu seya, labda unapenda kuwamega na kuwadump mradi waingie kwenye list yako ya jump offs , but ma point is wat ever u r doing wid em shoriz its none of our damn business kapish?
 
huo mtandao ulikuwa unatumika vibaya kwa mtu binafsi akiwa na chuki na mtu flani anatuma picha na kucomments mambo mabaya hata ya uongo chini yake ,huoni hiyo ni kuharibu muonekano wa mtu na kuingilia uhuru wake? japo wengine walikuwa kweli wanatabia hizo lakini ukweli ni kwamba its no body's business
aisee ....kuwa na chuki ni tatizo la zeutamu? au lako mwenyewe......

....tatizo lako zeutamu ni nini? comments? picha unazotuma ww? au chuki zako kama ulivyosema?
 
aisee ....kuwa na chuki ni tatizo la zeutamu? au lako mwenyewe......

....tatizo lako zeutamu ni nini? comments? picha unazotuma ww? au chuki zako kama ulivyosema?

Acha ujinga wewe...unga tela utoe thanks hapo juu
 
Acha ujinga wewe...unga tela utoe thanks hapo juu
waliotoa thanks woote hapo juu hamnazo kama wewe.......wanatoa thanks kwa tetesi iliyodumu kwa wiki zaidi ya 2? tetesi gani isiyokuwa kweli wiki zoote hizo?....
hao followers wako yaani hamnazo kweli yaani bado wako wame stay tuned bwahahahaha wanasubiri uwape update.......
 
Acha ujinga wewe...unga tela utoe thanks hapo juu
Mkuu
unajua kuna watu wagumu sana kuelewa ila tartiiib wanakuja kufunguka vichwa vyao.

BTW
thanx kwa kuleta ishu hii hapa kwani mpaka sasa Media za bongo zinasita kuingia kiundani ktk suala hili. sanasana MWANANCHI wamejaribu ingawa authorities wamefunga milango ya habari....
 
waliotoa thanks woote hapo juu hamnazo kama wewe.......wanatoa thanks kwa tetesi iliyodumu kwa wiki zaidi ya 2? tetesi gani isiyokuwa kweli wiki zoote hizo?....
hao followers wako yaani hamnazo kweli yaani bado wako wame stay tuned bwahahahaha wanasubiri uwape update.......

Una wish ungekuwa na followers kama hao....unajua kati ya hizo mtu 46 shori ni ngapi?
 
Mkuu
unajua kuna watu wagumu sana kuelewa ila tartiiib wanakuja kufunguka vichwa vyao.

BTW
thanx kwa kuleta ishu hii hapa kwani mpaka sasa Media za bongo zinasita kuingia kiundani ktk suala hili. sanasana MWANANCHI wamejaribu ingawa authorities wamefunga milango ya habari....

Wanajaribu kufanya damage control sasa hivi.....ndo maana unaona hata authorities wamefunga midomo yao
 
Mkuu
unajua kuna watu wagumu sana kuelewa ila tartiiib wanakuja kufunguka vichwa vyao.
Wewe tatizo la zeutamu ni lipi? msifate mkumbo mtajalia tena 2010.....

BTW
thanx kwa kuleta ishu hii hapa kwani mpaka sasa Media za bongo zinasita kuingia kiundani ktk suala hili. sanasana MWANANCHI wamejaribu ingawa authorities wamefunga milango ya habari....
yaani bado tu unampongeza mzushi nyani ngabu kwa tetesi? ama kweli watz tangu 18 mpaka leo ni tetesi bwahahahaha
 
yo Yo,

Mie zimtetei Zeutamu na wala simlaani.

Ila kwa nini usiifufue? Hivi mtu huwezi anzisha zeutamu nyingine? Inaweza ikatofautiana kidogo na ya mwanzo. Tutakufuata huko kama ASALI WETU.
 
Pamoja na hayo. Defence lawyer will have a field dayna hizo picha! Hebu eleza mahakama hii picha inaonyesha nini? Pamoja na media kutoruhusiwa, bila shaka watakuwepo watu kibao ambao walikuwa hawajawahi kuziona hizo picha. Wote hawa watapata cha kusimulia.

Amandla.....

Kuna chemba koti wanaingia wachache tuu
 
Ila kwa nini usiifufue? Hivi mtu huwezi anzisha zeutamu nyingine? Inaweza ikatofautiana kidogo na ya mwanzo. Tutakufuata huko kama ASALI WETU.
Under-Construction.gif
 
Kuna chemba koti wanaingia wachache tuu

Hata huko chemba na uchache wao, itabidi picha iletwe pale mezani, sijui kwenye screen na salalaaa. Waislaam zitawatoka "astakafilulaah.."
 
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
Bado tu hao mashori 46 wanasubiri news bwahahahahaha
 
Sawa Yo Yo, nakusubiria. Nikipata uraia wa Gabon, basi itabidi mikoba yote uniachie mie maana sidhani kama tuna mikataba na Gabon kubadilishana wafungwa.... Nafikiri kwa asiye Mtanzania, CCM watakusikia tu. Kweli hii vita ya sasa ni ngumu sana. Kila siku Iran wanafunga habari zisitoke, ila watu ndiyo kwanza tunafaidi zaidi kama tunda la mti wa katikati........ Waje na njia mpya na ari mpya ya kupigana na hii kitu na si MAGUVU tu.....
 
Bado tu hao mashori 46 wanasubiri news bwahahahahaha

News zilishakuja...it's just you who is slow....you need to catch up...ain't nobody gonna slow down for your little ass
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom