Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Achana na mzushi huyu...amejoin leo kakimbilia ZEUTAMU.

m-bagamoyo
user_online.gif

m-bagamoyo has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Mon Oct 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

MJ, this guy [m=bagamoyo] has some serious issues; labda katumwa
 
ahhahahahhahahh
wabongo noma sana baada ya kujifunza ya maana huko ulaya waliko wanajifunza upuuzi, sasa fikiria kaishi UK na kufanya upuuzi kama huo kweli wabongo noma , anastahili kufunzwa maana hakufunzwa na mama yake labda sasa atafunzwa na Sheria.
kila la kheri na mnaoishi nje someni ya kuisaidia nchi yenu sio kufanya yasomaana ni aibu .

Waambie Invisible a.k.a. kajumulo hahahahahh

Kajifunze Kiswahili halafu ndiyo uje hapa Jamvini bana, kama unashindwa hata kutofautisha kati ya BAADA na BADALA utaweza kuongea Pointi mkuu! Anyway Karibu kwa Jamvi
 
Yap! ze utamu ilikuwa inaonyesha movu ndani ya jamii ambayo watu tulio wengi tulikuwa si rahisi kuyaona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

OK ok ok kila m2 anamtazamo wake juu wa hii website, anyway hayo ndo maoni yangu.
 
bora irudi ze utamu vinginevyo hii GT italost wamehamia huku,hushangai jumatatu asbuhi tu ngono ngono ngono tupu.ni mtazamo tu.
 
bora irudi ze utamu vinginevyo hii GT italost wamehamia huku,hushangai jumatatu asbuhi tu ngono ngono ngono tupu.ni mtazamo tu.

walishakuwepo, ila walikuwa na kasehemu ka kutolea hewa chafu kulee, kwa sasa wanaj@mbia humuhumu:mad:
 
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come

Dah...hii thread nilipewa "Thanks" kibao lakini Invisible akazibania.......
 
Kwanza naomba muondoe hizo thnks 46 so far mlizompa mzushi Nyani ngabu......
....huyu Nyani ngabu afunguliwe mashtaka kwa kumchafulia jina bwana malecela lusinde mtu makini toka familia inayoheshimika

......nikiwa kama mmoja wa rafiki mkubwa wa familia ya Malecela nalaani kwa nguvu zoote taarifa za kizushi alizoleta Nyani ngabu JF.....

NB:Na huu uzushi kwamba nilikuwa banned umetoka wapi?

Lol...yaani full kujipendekeza. Mbona washikaji wa Billy hapa tupo na wala hatudondoshi majina...dogo unazidi kuoza wewe hapo mjini. Njoo majuu nikutafutie kazi ya kusukuma carts Walmart
 
Mmiliki wa ZeUtamu naye vipi? Maana kuna watu walisema naye atafunguliwa mashitaka lakini mpaka leo hakuna kitu ingawa tovuti haipo tena.
 
Nadhani wengi tunakumbuka miaka ile ya 2000s ile blog iliyojipatia umaatufu sana kwa jina la ze utamu. Inafahamika kwa mambo mengi ya hovyo na pengine ku reveal siri za watu waliokuwa maarufu miaka ile.

Walikuja kuharibu pale walipokuja kumweka aliyekuwa rais wa kipindi hicho kwa picha za aibu. Hapo ndipo alipotafutwa na akapatikana. Maneno yaliyosemwa ni kuwa mmiliki wa blog hiyo alikuwa ni jamaa mmoja hivi bonge aliyekuwa nje ya nchi.

Alikamatwa na kurudishwa nchini ambapo baba yake alimwombea radhi kwa kupiga magoti na kulia. Na sasa jamaa huyo amekuwa ni mpiga debe maarufu wa watu mbalimbali wa chama.

Ni wakati wa mwenye habari za ukweli kuziweka wazi. Naamini imeshapita miaka mingi. Hamna haja ya kufanya siri.
 
mmmh ni Black na Mnene?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom