Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Wadau nimesikia wala sijui vijana au wazee waliokuwa wakiwanyima watanzania usingizi kwa kuweka mapicha machafu kwenye blogu yao (zeutamu) wameshatiwa nguvuni, kama yupo mwenye taarifa atumwagie hapa maana nahitaji kufile charge zangu na mimi.
 
Watakamatwa lakini hamna litakalofanywa zaidi ya kuzima webzeutamu, mengine hayana maana. Mhalifu ambaye atafungwa ni yule wa kuku tu Tanzania ijayo.
 
Tuombe mungu wasije kuibandua na thread yenyewe, maana humu ndani siku hizi hata hakueleweki utafikiri forum imekabidhiwa pale idara ya habari na maelezo chini ya uangalizi wa TCRA. hahaha
 
Mkuu hii habari si kweli yamezungumzwa mengi huko nyuma lakini aliye chafuka zaidi ni Mkuu wa Kaya sio wewe na wamekaa na kuyamaliza nyie endeleeni kusubili huruma tu.
 
Achana nao unapoteza muda, Nenda kwenye thread za maana, mchango wako muhimu.
 
Mkuu hii habari si kweli yamezungumzwa mengi huko nyuma lakini aliye chafuka zaidi ni Mkuu wa Kaya sio wewe na wamekaa na kuyamaliza nyie endeleeni kusubili huruma tu.

Mkuu sijakuelewa, nieleweshe vizuri...najua mkuu wa kaya ndo amesaidia neema ya kubomollewa kwa wale was**** kwahiyo wamemalizana vipi?
 
Fixman,
KWanza unataka kujua na unauliza swali humu JF. Kabla hujajibiwa umeshaanza kukandia JF. Kama ukiandika PUMBA, basi zitafutwa. Nenda kwa Michuzi, huko watoto wa MUJINI wengi wanaingia na watakuhabarisha. JF imeandikwa juu kabisa kuwa THE HOME OF GREAT THINKERS, sasa jiulize kama na wewe uko ndani ya kundi hilo na kama humo basi uwe unauliza na kusuiri kupewa majibu na siyo kuanza kulalama kuwa POST zinafutwa. Unaweza kukuta hata hazijafutwa ila zimechanganywa na nyingine maana ukituma kitu ambacho tayari kimeshatumwa zamani, kinaendwa kuchanganywa na wenzake huko.........

Ulishasikia huyo kijana ni nani. Ilishasemwa jinsi KATIBA/SHERIA zetu za Tanzania hazizungumzii chochote juu ya hilo. Sasa unategemea watamfanya nini hata akikamatwa? Ungeliandika kuuliza kama BUNGE letu limejadili juu ya kuweka sheria kwenye mambo ya MITANDAO, hapo ungelionekana kweli umepiga hatua moja mbele kama JF member.
Tuwe tunaangalia umbali mrefu kidogo na tusiishie MWISHO WA PUA.
Hii kesi, kesi ya KAGODA, Deepgreen, Meremeta...... kama una akili zako lazima ujuwe kuwa HAZITAISHA katika serikali ya CCM.
Ze utamu ndiyo kabisaaaa, zitaishia wazee kukutana na kupata KINWAYAJI...
 
Msome mkuu Sikonge hapo juu kamaliza kila kitu mboga na ugali.
 
I will get to you soon.
 
habari hii naona haipendwi kuzungumziwa humu ndani! sijui kwa nini!tehehehehe

Kwanini hawapendezewi kulizungumzia ?binafsi nashindwa kuelewa nini kimetoa niliwahi kusikia tu kuwa kuna watu walimkashifu Kiongozi wetu, nilipo uliza sikuweza kupewa majibu nikambiwa hayo mambo hata hayafai kusimuliwa ,ni kauliza ni mambo gani yasiyo faa kusimuliwa nikambiwa wameweka picha chafu za Rais ,mimi nikapigwa na butwaa nikajiuliza ilikuwaje nikasema kama ni hivyo basi kwanza iangaliwe hao watu walifikaje hata kuweza kuchukuwa picha Kiongozi wa juu kama Rais walinzi walikuwa wapi ?au ndio mafisadi wamefanya ufisadi wao kwa kumtegea kamera kama walivyofanyiwa kina slaa na wenziwe kuwekewa kitega sauti ?ni hatari tunakwenda wapi .
 
Mkuu...humu ndani kuna watu wa karibu na mhusika...habari ndo hivyo. Kuna hata watu wanaoheshimika humu ndani waliokuwa wanamjua mhusika na kuwa na mazungumzo naye ya karibu. Kinachonishangaza ni tuna-slogan ya 'we dare to talk open' lakini point iki-hit home, watu kimya. Inaelekea hapa ni we dare to talk open against CCM tu. Leo ukiambiwa kaka yako mwizi, utaweza kukubali kwenda kumzungumzia wizi wake hadharani? Basi ndo hivyo...ishu imewekwa mfuniko.
 
ahhahahahhahahh
wabongo noma sana baada ya kujifunza ya maana huko ulaya waliko wanajifunza upuuzi, sasa fikiria kaishi UK na kufanya upuuzi kama huo kweli wabongo noma , anastahili kufunzwa maana hakufunzwa na mama yake labda sasa atafunzwa na Sheria.
kila la kheri na mnaoishi nje someni ya kuisaidia nchi yenu sio kufanya yasomaana ni aibu .

Waambie Invisible a.k.a. kajumulo hahahahahh
 
Hii topic ndiyo iliyoku-impress wewe ku join JF????....Maana kuingi an kuingia umeend akuisaka hii topic ambayo last been contributed ni July na watu wameshasahau.......You got issues!......

and welcome jamvini!...

Na acha kutumia majina ya watu kama utani!...Invisible siyo Kajumulo....
 
Achana na mzushi huyu...amejoin leo kakimbilia ZEUTAMU.

m-bagamoyo
user_online.gif

m-bagamoyo has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Mon Oct 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom