Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
that sentence of '.....you cant mess up people's lives, including that of head of the State' ndio inayonibore mimi inamaana asingemnail Mkuu pale mtandaoni asingekamatwa? Rubbish
 
that sentence of '.....you cant mess up people's lives, including that of head of the State' ndio inayonibore mimi inamaana asingemnail Mkuu pale mtandaoni asingekamatwa? Rubbish

Kumbuka, raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anastahili heshima pekee na maisha yake pamoja na heshima yake yana thamani zaidi ya wananchi wengine wa kawaida.
 
Kumbuka, raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anastahili heshima pekee na maisha yake pamoja na heshima yake yana thamani zaidi ya wananchi wengine wa kawaida.

hapo hapo Komredi ndipo mnapo kosea aking'atuka au kipindi cha kukaa madarakani kikiisha basi heshima yake nayo ndo inakwisha kabisa anakuwa hana thamani? Duh angalia Chiluba angalia Bakili Mluzi leo hii hawana thamani tena.....hii iwa inaniacha hoi inabidi Rais utende wema kisha nenda zako ze utamu muhurumie amini sio kweli kama tunavyo amini sisi.
 
Hii hadithi mbona hainiingii akilini wajameni?

So it is the israelis that did the tracing of the host and author...
After conducting a thorough investigation to various local Internet Service Providers, it was concluded that the server that host the website originated in the United Kingdom.
Does local ISPs mean ISPs in TZ? What is this "thorough investigation" done to local ISPs? I stand to be corrected, but what u can get from the ISP is the IP address of the server, and posibly IP addresses of those accessing utamu.com. I am sure the IP addresses of those accessing the site from TZ wouldn't have been of that much importance. Now, if they were interested in the IP address of the host, did they need to do such a "thorough investigation"?

If local ISPs means ISPs in the UK, then the paragraph's logic is a little flawed because it implies they knew the country of interest (UK) after the "through investigation".

Can those in the know enlighten us about this "thorough investigation"?

This, according to sources, was reached after analysing over one hundred posts posted in the website whereby their origins finally showed the countrys code used in hosting internet services.
How do u analyse posts on a website and find out where they are posted from if the site does not display the ip address of the poster?

Whoever made up this part or wrote this paragraph must be watching too much science fiction.

And this was done by some Israelis, or the "local intelligence community"?

Du! Do u really need MI5 in this? Jamani, I thought they are involved in more difficult cases.

The dramatic move by the local intelligence communities is the first to be done in East Africa in cracking down online crimes, sending an alarming message to the growing number of bloggers inside and outside the country.
I thought the Israelis did the first part, and MI5 did the finishing.

How does the local intelligence community get credit for this?
May be they should get credit after they do this part well.
After concluding their findings, the investigators tipped Interpol as required by international law in order to arrest the suspect.
Kuna paragraph nyingine unaona tu kwamba zimechomekwa kufikisha ujumbe ...
Hapa sasa who concluded the findings? The israelis who scanned the 100 posts, or MI5 who "thoroughly" interrogated the ISP?

This sequence of events doesnt make sense to me:
1. Contacts israelis 2. contact MI5 3. interrogate ISP 4. Notify Interpol


May be some sophisticate means were used to get to this man. But I don't buy the story written here. Sounds more like a confused science fiction tale.

And what concerns me is the costs of all this "operation" (using the israelis, etc.) that will be written into the accouting books, na inawezekana tushafisadiana tena hapa.

And why going through all that trouble? Wangechangia JF part ndogo tu ya hiyo budget pengine wangepata msaada wa haraka sana. 🙂
 
LAKINI MNASAHAU KUWA JAMAA ALIMBANDIKA MPAKA DADA YAKE

KUSEMA UKWELI MIMI SITOKUWA MNAFIKI HUMU i miss ze utamu MAANA KUNA SISTER MMOJA NILIKUWA NIMFANYE PROJECT LAKINI SIKU NINAMWONA KATUNDIKWA MLE NA SUSPICION ZANGU ZIKAWA REALISED! SHE WAS A GRADE 1 *****

sasa imebaki kuna kubishana na wanyalukolo humu jf na kwenda kutazama picha za mjinga michuzi

SEMA JAMAA ALIBOA ALIPOANZA KUBANDIKA MA PICHA YA MA GAY na aliniboa zaidi alipobandika ile picha ya mheshimiwa
 

hahaha mkuu umeongea kipindi kile kweli mzee jamaa alikuwa anawafumbua watu naona sifa zilimzidi akaanza kuharibu mwishoni kwa photoshop pictures lakini wengi walikuwa wanamkubali kwa vituzi sijui alifikiria nini kuweka ile pc ya mheshimiwa dah.
 



DAILY NEWS ipi? ile ile ambayo imemwajiri yule mpiga mapicha kwenye maduka ya ma DILDO bwana issa michuzi AU daily news nyingine?
 



IPP Media nao useless kama waandishi wake...nikisema mnasema mimi nina kisasi nao

this is typical udaku

1) Kwanza MI5 hawana muda wa kushughulika na mambo haya...hawa jamaa wako bize wanashughulishwa na AQ na sleeper cells ...hii issue ni ndogo sana Scotland Yark wanazo resources za kutosha bila kuwashirikisha MI5 na actually huko Yark kwenyewe mbali sana


2) Hapo kawataja ISRAEL sasa ukisikia sensationalism ndio hii...hivi Israel wanahusika vipi hapa na kama nani? MOSAD, SHIN BET au KIDON kwa kwa lipi haswa? Mind you jamaa wako bize kupenetrate Hezbollah na hata time line inaendana na Elections in Lebanon ambako tunjua waIsrael walikuwa bize kufanya nini na Saudi Arabia mpaka Hariri akawashinda...sasa waache jambo la muhimu kama hilo waje kushughulikia kumkamata jamaa wa ZE UTAMU?

ukisikia SUPERMARKET JOURNALISM ya akina Mwanakijiji ndio hiii


3) CYBER CRIMES zipi haswa? kwa sheria ipi? mimi nazielewa vilivo sheria za cyber crimes za Tanzania na hakuna sehemu hata moja ambayo jamaa anaweza kushitakiwa just to name a few:


-The Computer Misuse Act 1990 ( soma chapter 18.)

-The Regulation of Investigatory Powers Act 2000 (kasome chapter 23.)

-The Anti-terrorism, Crime and Security Act 2001 (kasome chapter 24.)

-The Data Protection Act 1998 (kasome chapter 29.)

-The Fraud Act 2006 (kasome chapter 35.)

-Potentially the Forgery and Counterfeiting Act 1981 (soma chapter 45) mind you sheria hii pia inaweza kuhusika kwenye kesi za FORGERY OF ELECTRONIC PAYMENTS lakini hii ni within UK

The Privacy and Electronic Communications (hiii ni EC Directive) Regulations 2003 (hii inapatkana kwenye Statutory Instrument ya mwaka 2003 No. 2426.)


kila nikiwaambia haya magazeti ya IPP Media hamna kitu hamuishi kulalama sasa mmeona?

Sasa hivi ukitembelea forums za IRANIAN community mtaona jinsi AHMEDINAJAD anavyochkrwa na kufanywa photoshop...mind you sheria za UK zinaruhusu kabisa swala hilo ama sivyo kusingewkepo magazeti UK



3)Hilo la ISP kuwa interrogated nalo ni uwongo mtupu kwa sababu sheria ya Computer Misuse Act 1990 haijasema lolote kuhusu kuphotoshop picha za watu..isipokuwa kipo kipengele ambacho kinaelezea kuhusus uhalifu au wakudhuru watu au wa ulawiti watoto ..hilo wazungu hawana cha mswalie mtume

sasa kwa kumpasha huyu mwandishi wenu wa IPPMEDIA ni kwamba hiyo a

Act iliintroduce three criminal offences kama zifuatazo:

lakini hao ndio IPPMEDIA..Guardian la Tanzania ukilisoma kwanza kazi yake kubwa ni ku copy from Guardian UK na kupaste, KULIKONI linahaririwa na wendawazimu halafu THIS DAY halina hata hadhi ya kuitwa Gazeti

no wonder mimi huwa nasoma THE CITIZEN maana kidogo lina mwelekeo wa professional journalism kwa kiasi fulani


On MALE since sina enough data nitaachana na mambo ya speculation mpaka hapo nitakapo ona yuko kizimbani hapo ndio tutaingia chimbo kujua kashitakiwa kama raia wa wapi na kwa kosa gani kwa kutumia sheria zipi

Hiyo haiondoi ukweli kuwa i miss za utamu
 

Hii stori ni uwongo mtupu! hakuna investigation yoyote na hakuna aliyekamatwa. Like MI5 wataanza kupoteza hela ya walipa kodi wa UK kwa upumbavu wa Photoshop!
 
LAKINI MNASAHAU KUWA JAMAA ALIMBANDIKA MPAKA DADA YAKE

KUSEMA UKWELI MIMI SITOKUWA MNAFIKI HUMU i miss ze utamu

Mie Mshamba wa Sikonge ilinifanya niwafahamu Mastars wetu wa Dar hasa wale wa Kike kama akina Kilango, Mange, TK, Wema nk. Pia ile lugha mle ndani (ukiacha matusi) wakati mwingine hata kama umechoka, basi lazima ucheke. Nilivunjika mbavu kumuona mtoto mmoja kalembua macho na chini wameandika "KUKU WA KIENYEJI KUTOKA PUGU...". Ehh, hata wale madada wawili wa Mwanza yaani Nsia Swai na mwenzake, walikuwa wanaleta furaha. Ila kuna mipicha mingine hadi unaikimbia, picha ovyo na maneno ovyo..... Lazima mtu ukubali kuwa SHILINGI INA PANDE MBILI, maana hata hii JF, Michuzi nk nazo zina uzuri na ubaya yake. Sema tu inategemea unaangalia ukiwa PEMBE GANI.

Ila wengine kwa sababu akina Nyanso wetu huku wamechoka hadi unaona aibu kutuma picha zao, imetunusuru kuwa kwenye listi ya watu waliotuma picha kwa zeutamu. Ningelikuwa nimepewa Uraia wa Gambia wakati ule, ningelifungua ZEUTAMU nyingine kwa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya ila tu NO PHOTOSHOPs technologies!!!!!!.
 
Ilikuwa bonge la ugomvi kama ukiibua camera phone mitaa mitaa na washkaji kutaka kuwasnapu....
 
Kuna mtandao mkubwa sana utakaoshtakiwa, watoa comments, wapiga picha, pamoja na waliokuwa wakii-visit ile blog najua kuna wana JF wengi tu watakao simamishwa kizimbani.
Hivi Ze Utamu ni nini?
 
Wakimfungulia mashtaka, wataipeleka ile picha kama kithibitisho? Si itakuwa kumdhalilisha tena mkuu wa kaya?

Amandla........
 
Wakimfungulia mashtaka, wataipeleka ile picha kama kithibitisho? Si itakuwa kumdhalilisha tena mkuu wa kaya?

Amandla........

FM,

Habari za kupotea? Sijakuona kwa kipindi ati.

Hilo uliloliandika niekuwa nikijiuliza siku zote. Itabidi wailete hiyo picha na kutoa ushahidi mbele ya vyombo vya habari duniani/mahakamani. Na kibaya zaidi kama ilivyokuwa kesi ya Babu Seya, itabidi UPANDE WA MASHTAKA kutoa maelezo juu ya hiyo picha. Kibaya ni pale jamaa akisema "huyo si Muungwana wetu maana hata mie namuheshimu sana, ila ni jamaa wanafanana naye tu....". Kumbuka kesi ya R Kelly pamoja na kuonekana kwenye video na kitoto kidogo, bado aliendelea kukataa katakata (kama Shaggy vile) kuwa SI YEYE. Itabidi kazi ya ziada kumlazimisha jamaa kusema kuwa huyo ni Muungwana. Na utafikiri alijua, hakuandika jina lolote pale wala maelezo yatakayoashiria kuwa huyo ni nani.

Wakati mwingine nashindwa kuelewa kama ilikuwa bahati mbaya au ilipangwa na baadhi ya watu...... All in all, jamaa kaibadilisha Tanzania sasa katika mambo ya mitandao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…