....watu walio kuwa wakicomment tutafuatiliwa ......
Pengine sio kucomment tu, hata wale mliokuwa mkitembelea na kusoma tu, na bado.....

Mkuu Invisible naskia hata watu walio kuwa wakicomment tutafuatiliwa sasa sijui hii ishu imekaaje maana hata serikali naona haijatamka lolote au wameshaona jamaa hana kesi ya kujibu?

kuna wabunge na wengine
Mkuu Invisible naskia hata watu walio kuwa wakicomment tutafuatiliwa sasa sijui hii ishu imekaaje maana hata serikali naona haijatamka lolote au wameshaona jamaa hana kesi ya kujibu?
Acha kutisha watu bana...
Unamaana na wewe ulikuwa unachungulia sio?
Wale wanajitokeza hadharani kuwa walikuwa wanacomment huko watachukuliwa hatua fupi fupi ikiwepo kupewa onyo na faini.
Kwa hiyo basi washauri wenzio waliokuwa wakicomment, kutuma picha na hata kusoma tu wajitokeze hadharani through forums ili waweze kufikiriwa na hatimaye kupunguziwa adhabu...... usiamini hili!
Yep yep yep yep! Ebwana eeee!
Kuna mtandao mkubwa sana utakaoshtakiwa, watoa comments, wapiga picha, pamoja na waliokuwa wakii-visit ile blog najua kuna wana JF wengi tu watakao simamishwa kizimbani.

.....wakitaka mwanasheria UWIANO MAALUM NIPO, $ 400 kwa saa, hii ni kindugu tu kutokana na undugu, upendo na mshikamano uliokuwepo hapa JF family.
dah naami Ze Utamu sasa atawatengenezea watu ulaji wa kufa mtu kuanzia watengeneza mashtaka wapelelezi kisha mahakimu na wansheria wenye roho ya tamaa kama wewe UM hahaha
Hii case ni ngumu sana, unatakiwa uwe na mwanasheria wa uhakika. Kwa wale wote wanaojijua ni victim wa hili sakata tuwasiliane as soon as possible kuweka mambo sawa mapema, haraka na upesi.