Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

ukihangaika na wanachosema ze comedy utajikuta unataka Kada mpinzani ajieleze kama ni kweli ameolewa na Karamavi...

ze comedy wanadai kuwa kada ameolewa na Karamavi na wana mtoto mmoja anayekwenda kwa mccain kila wiki!...

next week watadai pia kuwa kada ameolewa na muuaji dito....
 
ukihangaika na wanachosema ze comedy utajikuta unataka Kada mpinzani ajieleze kama ni kweli ameolewa na Karamavi...

ze comedy wanadai kuwa kada ameolewa na Karamavi na wana mtoto mmoja anayekwenda kwa mccain kila wiki!...

next week watadai pia kuwa kada ameolewa na muuaji dito....

sasa hayo matusi ! admn. ebu angalia watu wanaotaka kuvuruga hoja za watu kwa manufaa yao !

Mie sitojizibana tena na huyu mtoto ! fungia huyu kiumbe, anatukana hivi hivi mchana wote !
 
HII IKAE KWENYE SIASA INGAWA ZE COMEDY NI BURUDANI

mpigie simu Meneja wa Ze Comedy Bwana Sekione Kitojo(Seki) kupitia 0787513633 kutoa jibu lako ama changia hoja yako hapa JF na kama unataka ujumbe umfikie mmiliki wa EATV bwana Reginald Mengi nitumie ujumbe kwenye ashabdala@yahoo.com

Asha

Asha

Huyo Seki anaitwa Sekioni David, usimchanganye hata kidogo na mkongwe Sekioni Kitojo wa RTD.

Kama Masanja kafanya hivyo kweli ni vibaya, lakini kuna mawili:
1. Ama anachokoza apate reaction aitumie kwenye vipindi vijavyo (maana inabidi azalishe vipindi ili apate kula)
1. Au kapewa kitu kidogo na hayo mafisadi, yana njia nyingi za kuvuruga mambo.

Lipi kati ya hayo hapo juu ni la kweli? Tuvute subira tutajua hivi punde.
 
Kwa hiyo Sekioni atajwaye hapa si yule aliye kuwa mtangazaji wa RTD?

Siye hata kidogo. Huyu Seki ni bwana mdogo fulani ambaye mwanzoni alikuwa anaigiza na kina Bishanga Bashaija kwenye kipindi cha ITV kilichokuwa kinaitwa "Mambo Hayo". Siku hizi ni mtangazaji wa EATV.
 
Kwa kifupi serikali(waliotajwa) wangekuwa na evidence ya Slaa wangeshatoa kwenye magazeti, well labda wanacook up something...na kama hiyo hela ya walemavu aliyoila haina records then itakuwa ni hela ndogo sana kulinganisha na mabilioni yanayotafunwa kila siku(Wizi ni wizi kama kweli alikula basi itabidi naye atoe maelezo na ikiwezekana ashitakiwe)
 
Kada
Hizo dotidoti kaa 12 ni za Morse Code au ni lugha ya siri?

duh, unanikumbusha mbali uliposema morse code, nakumbuka nipo mbeya miaka hiyooo mwalimu wangu mmoja hivi anaitwa mshumbusi, tulikuwa tunamuita morse code ! hahaaa, hapana sio morse code lakini nilichoshwa tu mkuu !
 
Ze comedy kama ni wazalendo kwanini wasionyeshe mafisadi wanavo kimbia na kujificha hotelini kuuza nchi yetu?

Kwanini wasionyeshe wachimbaji wadogo wadogo wanavo nyanyaswa na hao waibaji wa raslimali zetu kwa mgongo wa uwekezaji?

Nina wasi wasi hawa ze comedy wana jimaliza wenyewe kwa mwendo huu wa kuwasaidia mafisadi!!..

Watu makini wameisha stuka kufangamana na mafisadi hao.. tumeshuhudia wote wanasheria wa Karamagi juzi wakimpiga chenga ya mwili kuhusu madai yake ya kudai fidia ya bil 10


Sipingi slaa aweza kuwa na mapungufu yake.. lakini hayo haya maanishi kwamba hoja zake juu ya wezi na mafisadi wanao limaliza taifa letu si za msingi!

Ni vyema wananchi wazalendo tukawa makini..na hujuma zozote zile zinazoweza fanywa na hawa mafisadi kwa ajili ya kunyamazisha jitihada za kuikomboa Tanzania yetu toka mikononi mwa wale wanao gawana minofu ya ngombe huku wakituachia kasungura sie walala hoi ndo tugawane!
 
bila shaka kuna ngawira imetolewa ama wamechimbwa mkwara anaglau washow hivyo kuifunikizia maovu hii serikali yetu ya mafisadi si bure...pia kuisafishia jina serikali hiyo ya chukua chako mapemaa(ccm) maana wanajua kuwa kipindi hicho chatizamwa na watu kibao tz..wezi woote huwa wanakua wajanja mno na full of tactics
 
Duh jamani hawa jamaa wanaitwa Ze comedy sasa mlitaka hasa wafanye nini wakati kazi yao ni mzaha!..Itakuwa kazi mpya maanake wameisha cheza sura tofauti..
Hili swala la Mafisadi naona atakuja kufa mtu!
Idd njema wana JF.
 
Duh jamani hawa jamaa wanaitwa Ze comedy sasa mlitaka hasa wafanye nini wakati kazi yao ni mzaha!..Itakuwa kazi mpya maanake wameisha cheza sura tofauti..
Hili swala la Mafisadi naona atakuja kufa mtu!
Idd njema wana JF.

heheeee, aaahhh nimecheka hapo ! eti atakufa mtu. hehee
 
Mtu akisema wewe ni mgonjwa unaweza kusema sio kweli eti kwa sababu anayekusema kuna wakati alishaugua?

Slaa alishakuwa mtunza fedha wa vilema? Hao Ze Comedy, na bootlickers wengine wa viongozi wezi ndani ya CCM, hawajui ukweli kwamba mtu huwezi kufukuzwa upadri? Mtu unaweza kusimamishwa upadri, lakini upadri haufukuziki. Ni wa milele, na hata ni zaidi ya milele kwani ukishakuwa padri basi unabaki ni padri hata kuzimu. Acheni uongo!

Sisi tunawafahamu wezi wetu. Hata wakitapatapa namna gani ukweli unabaki pale pale. Wanaoshirikiana na wezi wa nje kupora mali asili yetu, walioiba shilingi nusu trilioni kupitia BoT, na wanaoendelea kuwaibia Watanzania hadi leo, ni viongozi wa ngazi za juu wa CCM na washirika wao ndani na nje ya nchi.

Mnajisumbua bure mnapojaribu kumgeuzia kibao Slaa. Sisi tuko naye bega kwa bega kupambana nanyi.
 
Ndiyo tatizo wanaposhindwa hoja wanatumia kejeli, badala ya kushambulia hoja wanashambulia mtoa hoja..! Na ni kweli mtu akikuambia hiyo glasi uliyoshika ina sumu ya kuua, wewe badala ya kuitupa glasi unamuangalia na kusema.. "mbona una viraka, na mbona ulimuacha mke wako!" wapi na wapi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom