Zawadi ya ngono

Zawadi ya ngono

Hiyo ni sawa lakini bado hujasema kwako wewe "zawadi" ni nini? Mimi pia nasita kukubali hoja yako kwa sababu kwa definition yangu ya zawadi (nimeitoa hapo juu), tendo la ndoa katika ndoa sio zawadi (strictly speaking!). Naweza kukubali mtizamo wako kuwa wanandoa "wachukulie/waone tendo la ndoa kama zawadi".
Naheshimu mtazamo wako, ila sijaupokea kua wangu. ndio uzuri wa debate.
 
Naheshimu mtazamo wako, ila sijaupokea kua wangu. ndio uzuri wa debate.
Well, debate inakuwa nzuri zaidi kama kuna "hoja" na sio "maoni" pekee...kwa sababu kama ni maoni kila mtu anaweza kuwa na yake na kwa sababu zake na sio rahisi kupinga maoni ya mtu (kwa sababu ndivyo 'anavyoona'!).

Swali langu lilikuwa rahisi tu....tuambie "zawadi" kwako maana yake nini?...then hapo tunaweza kuunga mkono au kupinga hoja zako kwa haki.
 
Nikuridhishe ndugu yangu: Kwangu mimi zawadi ni kitu kinatolewa bure. Kwa zawadi kuitwa zawadi unatakiwa kuitoa bila kulazimishwa, bila malipo, bila kusubiri chochote toka kwa anae pokea, na nia yako inatakiwa kua nia ya kumfurahisha unae mpa zawadi.
Inaweza kua tendo, au kitu. wengine husema hata nia inaweza kua zawadi ila hii ni too much.
Ikiwa utapokea kitu toka kwa alie pokea, haijaondoa jina ZAWADI, so long as hukumpa kwa nia ya kutegemea na yeye atarushisha.
Kwa definition hii (yangu binafsi) tendo la ndoa kati ya wapendanao kwa dhati ni zawadi sababu wanakusudia kupean raha.
 
Nakushukuru kwa kunipa 'zawadi' hii. Bila shaka mjadala utanyooka zaidi. Sasa unawezaje kutoa tendo la ndoa na kuridhika bila wewe kutegemea kutendewa.....au inakuwa kama kahaba anavyofanya ukiondoa malipo?
 
Sasa je. . .
1. Mtu anapoanza kuhonga mwili wake ili afanyiwe kazi yake (kusoma, kuwa na CV kali, good work ethics, experience n.k) kwanini anafanya hivyo?Ni kutojiamini (mwenyewe siwezi) au ni kuzungukwa na watu wasio na imani nae (wazazi, ndugu na jamaa wasioisha kumwambia hatofika popote)???
2.Je kuna hatari gani mtu kutegemea mwili wake badala ya akili na uwezo unaohitajika kupata kazi,kufaulu n.k?
3.Mtu kama huyu akija kuwa mzazi atakuwaje?Ataweza kumfundisha mtoto wake kuwa tofauti na alivyo yeye?
4.Malezi yanachangia vipi kuwafanya ndugu zetu wawe hivyo?

Najua kwa kiasi kikubwa hata system yetu (kupeana kazi kwa kujuana bila kujali sana uwezo wa kazi ) inachangia kwa kiasi kikubwa, maana isingekua inaruhusu ingekua ngumu kutoa na kupokea rushwa ya aina hii ila napenda kuangalia kile kinachowasukuma wahusika zaidi.

hiki kizazi ni kiovu na dawa yake Mwenyezi Mungu ametuwekea vvu....................hiyo ndiyo itasawazisha yote...................kwa sababu rushwa za aina zote maana yake ni kudhulumu wale wanaostahili na hili Mwenyezi Mungu alikwisha kutoa maelekezo siku nyingi kupitia kinywa cha nabii Jeremiah.......17:5.....The LORD says " Cursed is the man who trust on a man, and makes flesh is strength, whose heart departs from the LORD."

hizi ni laana na laana inapokomaa huzalisha kifo..........Jisomee James 1:15 kwa ufafanuzi wa ziada.............kwa hiyo wasichojua ni kuwa hayo mafanikio ya muda mfupi mwisho wake ni kilio na kusaga meno.................................kheri yao wanaomtegemea Mwenyezi Mungu kwa kila kitu bila ya kutumia rushwa kuwaacha wenzio na maumivu makali..........kama kwenye PROVERBS 17:1 "BETTER is a dry morsel with quietness, than a house full of feasting with strife."
 
Nijuavyo mimi,....Hili suala ni pana.Ni pana kwa maana kuwa ni tatizo kubwa na linahusisha maeneo makubwa yafuatayo.1.Malezi 2.Mfumo wa maisha.Haya ni mambo ukiyaangalia kirahisi rahisi utayaona ya kawaida.Tabia zetu na mitazamo hutengenezwa wakati tupo tumboni mpaka tunazaliwa na kuendelea mpaka tunapokuja kujitegemea.Inafahamika kwa wataalam kuwa mtoto anapokua tumboni anashare kila kitu na mama yake,kuanzia hisia mpaka chakula,hapa ndipo ulevi,chuki,na mihemko ya ajabu huanzia.Hali hiyo inaendelea mpaka anazaliwa.Namna unavyomlea ndivyo atakavyokua.Akija kuwa mtu mzima anakuja kukutana na mfumo wa kishetani wa kuhongana miili,pesa au kupeana kazi kwa kujuana.Sasa unafikiri hana pesa,hana mtu wa kumpa kazi,lazima atatumia alichonacho ambacho ni mwili wake,akiwa wa kiume atakua mkabaji ili apate hela ya kuhonga apate kazi!
 
kwani anayeombwa ni nani/? mwanaume au mwanamke? mimi ssitaki kumpa mwanamke lawama..tatizo hili ni tamaa za wanaume(ujinga)
 
Nakushukuru kwa kunipa 'zawadi' hii. Bila shaka mjadala utanyooka zaidi. Sasa unawezaje kutoa tendo la ndoa na kuridhika bila wewe kutegemea kutendewa.....au inakuwa kama kahaba anavyofanya ukiondoa malipo?
HIyo nilikua nimesha jibu mwanzoni, kuna utamu zaidi katika kutoa kuliko katika kupokea... Au we wajuaje?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hahahhaha MammaMia punguza uchokozi.Sijui Ms Rice kashaiona hiyo. . .!
Bila shaka atakuwa angalau mainteliji¡ensia wake wameshamtonywa. Mbona hii ilizunguka zamani sana!
 
....zawadi gani hiyo bana mtu anakuonjesha kisha anaondoka nayo bana? kuachiana machovu na uchungu wa hisia bure...anayehonga ana nafuu, kasheshe ni huyo aliyeonjeshwa halafu yeye anayehonga maadili yake yote kisa utamu wa muda mfupi.
 
Mbu makovu na hisia wapi wakati watu wenyewe hua wanashtukizana?

Alafu unataka kuniambia watoaji wao hawahongi maadili yao?Au wao wana nafuu?
 
HIyo nilikua nimesha jibu mwanzoni, kuna utamu zaidi katika kutoa kuliko katika kupokea... Au we wajuaje?
Mmh,....."kuna utamu zaidi katika kutoa tendo la ndoa kuliko katika kupokea tendo la ndoa"...sounds a bit weird! Najiuliza unatoa, unajitoa au unashiriki? But I now 'understand' your point of view.
 
mh dada lizzy hii ni ngumu kumeza bt ndo hali halisi katika jamii ye2.
 
suala hili ni pana sana. kizazi cha wenye tabia hiyo kitaendelea kuzaana na kuongezeka kwa kasi. hebu wanaume tuwe wagumu kupokea hii rushwa tuone itakuwaje. wanaume wote tukiwa na msimamo hilo jambo litabaki historia.
 
kwa kweli hii ni tabia mbaya sana,sana sana kwa sasa ni kupata kazi na HIV na hii zawadi inawafaa sana,pia wanakuwa wajeuri kwa wengine kisa boss alishampa alichotaka hawezi fanywa kitu.Hawafai katika jamii ya kistaarabu.
 
Jamii nzima inatafunwa na ugonjwa wa upungufu wa maadili ambao binafsi nauona kama ni mbaya kuliko hata hata hili gonjwa la ukimwi. Mtu anapofikia kutoa thamani ya utu wake (penzi) ili tu kupata kazi, ama kupandishwa cheo,ama kufaulu katika mtihani flani huyu si mpiganaji ni mwoga wa maisha na hafai hata kwa mchuzi.

Mpiganaji wa kweli hawezi kukipimbia mapambano regardless yapi amekumbana nayo. Tabia ya kupenda kupita shortcut inatugharimu kama taifa. Watu hawataki kuhangaisha akili zao ili kuweza kujikwamua na maisha ila tunapenda kutimiza ndoto zetu pasina kuamka toka usingizini na kuanza kufanya kazi ili ndoto ziwe reality. Wengi wa binadamu ni waoga hata wa kujaribu ila tunataka tuamke asubuhi na kukuta kila kitu kimefanyika sasa ili iwe hivyo inagharimu maadili na utu wetu.

Tabia hii imekuwa na inaendelea kukua hasa kwa upande wa mabinti na wanawake kwa ujumla. Hatukatai ugumu wa maisha ila hawapaswi kujirahisisha kiivyo mie ninaamini kama bahati ni yako ipo itakuwepo tu. Wataalamu wananyimwa ajira kisa rushwa ya ngono imetolewa na baada ya muda taasisi ama kampuni inalalamika utendaji wake umeshuka huu ni wendawazimu ngoja niishie hapa naona hasira zimeanza kupanda nisije aandika vibaya nikala ban bure.
 
Kuna watu wanapenda kuendesha farasi kama fun. Sasa kama mtu anaweza kumtumia farasi kwa starehe, kuna shda gn ktk starehe hyo akam2mia kujiwezesha kutoka sehem 1 kwenda nyingine? Lizzy, kufanya ngono ni starehe, na hata ucpoihongea, utaifanya tu. Sasa kama kuna chanc ya kui2mia kufanikisha mambo yako kuna ubaya gn?
 
Heee!Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!
 
Back
Top Bottom