Zawadi ya ngono

Zawadi ya ngono

  • Kwanza kabisa nikushukuru maana kuna mengi umesema mi sikua najua au sikua naelewa hivo ila umenielewesha. Asante.
Ubarikiwe pia.

  • Pili niseme mapema kua uchumba ni muhimu ili watu waeleweshane mitazamo yao mbalimbali ya vitu muhimu katika ndoa. Ningekua mchumba wako, leo tungevunja uchumba sababu ya mitazamo tofauti kuhusu zawadi ya tendo la ndoa.
Kabisa. Zamani kabla ya kuoa/kuolewa, watu walikuwa wanafunzwa juu ya majukumu yao pindi watakapoingia kwenye maisha. Siku hakuna tena kitu kama hiyo.

  • Mwisho kabisa tulizungumzia wanawake zaidi ila sijasema kua ni zawadi ya mke/mwanamke kwa mpenzi wake, ni zawadi inatolewa huku na huku... zaidi tunaweza kusema ni zawadi ya alie anzishwa, toka kwa alie anzisha. Ikiwa unaanzisha alafu unadhani kua unaomba zawadi basi ndio mwanzo wa lawama. Lazima kuanzisha kama ukiwa na nia ya kutoa, for there is greater pleasure in giving than in receiving (act 20:35, na Corinthian 9:7... Lizzy, utamu wa bibilia ni kuweza kuitafsiri uielewavyo, au sio?)
Ukizungumzia mahusiano ya nje ya ndoa, then tendo la ndoa linaweza kuwa ni zawadi tuu, b'se ukimkatalia, there is nothing he can do. Hana haki ya kukudai kufanya nae tendo la ndoa. Lakini mkioana tuu, tendo la ndoa linabadilika from zawadi kuwa a right.

Nakubaliana na wewe, there is greater pleasure in giving than receiving. In the context ya mahusiano ya mapenzi this would be more applicable to romance than sex. Mwanaume feels a greater pleasure when when he is giving more romance than receiving. Lakini kwenye tendo la ndoa lenyewe there is nothing about greater pleasure in giving than in receiving. Giving and receiving should be equal. In other words, each party should feel the same greater pleasure when is giving and receiving. If one is feeling greater pleasure than the other, then hapo kuna tatizo.
 
Mi nimezungumzia mapenzi bila kutofautisha mapenzi kati ya wanandoa au wapenzi wa nje ya ndoa.
Kusema utamu unatakiwa kulingana ni ndoto sababu mara nyingi kuna ambae anaupata kuliko mwenzie. Muhimu ni kutosheka, sio competition ya kupata raha. Kuna wanaume hawawezi kufurahia utamu wanao upata kama hawana uhakika kua mwenzao ana upata pia. The same applies to women mara kumi sababu they know about pleasure (giving and receiving)
Lizzy don't roll your eyes, nimeambiwa na somo!:eek2:
Kwa kifupi mi sibishani na wewe. Unacho sema ni valid kwa watu fulani, na ninacho sema ni valid pia kwa watu wengine.
Mi sijaolewa, siwezi kujua hayo ya ndani, ila sioni kwa nini some one day ceremony in front of people should affect the intimacy of a couple... zawadi ni zawadi tu. lol
 
Mwali mi niko busy kupima uzito wa hoja kwahiyo hilo la "eye rolling" achana nalo.
Though niko na EMT kwenye hili najaribu kuelewa upande wako pia, kwanini wewe unadhani hilo tendo linabaki kuwa zawadi hata ndoani?Unadhani watu wanaoana kwanini ukiachilia mbali ukaribu na kusaidiana majukumu kama sio kuhalalisha upeanaji wao wa tendo la ndoa? Huoni kwamba likishahalalishwa linakua halali(haki) ya kila mmoja tofauti na kabla?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
jamani lizzy, emt, asante...., Fidel80 na mwali

hamna kisingizio wanaotakiwa kwenda kanisani waende tena sasa hivi

wenye zamu za kuandaa menu ya asubuhi na nyie amkeni

fidel wewe ni wa kusafisha uwanja nakumchinja huyo mbuzi

duh, hamlali?

Haya mambo hayakuanza leo wala jana, yameanza zamani sana, sema tu these days yameongezeka kwa kasi sana! And all this is because wasichana wengi wa siku hizi hawataki kujituma, wanataka mambo mazuri without working hard, and it is realy bad. Tena siku hizi yameingia mpaka kwenye siasa!
 
Mwali mi niko busy kupima uzito wa hoja kwahiyo hilo la "eye rolling" achana nalo.
Though niko na EMT kwenye hili najaribu kuelewa upande wako pia, kwanini wewe unadhani hilo tendo linabaki kuwa zawadi hata ndoani?Unadhani watu wanaoana kwanini ukiachilia mbali ukaribu na kusaidiana majukumu kama sio kuhalalisha upeanaji wao wa tendo la ndoa? Huoni kwamba likishahalalishwa linakua halali(haki) ya kila mmoja tofauti na kabla?
Kua halali na kua haki sio sawa Lizzy. Ikiwa nina mti wa matunda kwangu nyumbani, unakuja unaiba matunda ni haramu (wizi). Baadae nikija kukukamata alafu nikwambie: wewe vipi, kama unataka njoo tu, niombe nitakupa. alafu unaanza huo utaratibu ni halali. ila hatapamoja na kuhalalisha kula kwako, kupewa tunda sio haki.
NImesha elewa EMT anacho maanisha, na kama nilivo sema hapo juu kuna wanawake na wanaume wanachukua penzi kama jukumu/haki. ila amini usiamini wapo pia wanao chukulia kama zawadi.
Back to The Boss point: Kuna zawadi ya ngono ambayo ni halali kabisa.
 
jamani lizzy, emt, asante...., Fidel80 na mwali

hamna kisingizio wanaotakiwa kwenda kanisani waende tena sasa hivi

wenye zamu za kuandaa menu ya asubuhi na nyie amkeni

fidel wewe ni wa kusafisha uwanja nakumchinja huyo mbuzi

duh, hamlali?

Hii nimeipenda.
 
Mi nimezungumzia mapenzi bila kutofautisha mapenzi kati ya wanandoa au wapenzi wa nje ya ndoa.
Kusema utamu unatakiwa kulingana ni ndoto sababu mara nyingi kuna ambae anaupata kuliko mwenzie. Muhimu ni kutosheka, sio competition ya kupata raha. Kuna wanaume hawawezi kufurahia utamu wanao upata kama hawana uhakika kua mwenzao ana upata pia. The same applies to women mara kumi sababu they know about pleasure (giving and receiving)
Lizzy don't roll your eyes, nimeambiwa na somo!:eek2:
Kwa kifupi mi sibishani na wewe. Unacho sema ni valid kwa watu fulani, na ninacho sema ni valid pia kwa watu wengine.
Mi sijaolewa, siwezi kujua hayo ya ndani, ila sioni kwa nini some one day ceremony in front of people should affect the intimacy of a couple... zawadi ni zawadi tu. lol

Ukishaolewa utayajua hayo ya ndani. Kwa vile bado maji hujayafulia, then huna ulazima wa kuyaoga
 
Ninao watano so far. Looking for number 6 now if interested. LOL
No, asante kwa offer ila sitafuti mpenzi kwa sasa.
Niliuliza ili niweze kuelewa kwa nini ulisema nikiolewa ndio nitaelewa ya ndani, as if kuna vitu wewe unajua ambavyo mimi siwezi kujua.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
No, asante kwa offer ila sitafuti mpenzi kwa sasa.
Niliuliza ili niweze kuelewa kwa nini ulisema nikiolewa ndio nitaelewa ya ndani, as if kuna vitu wewe unajua ambavyo mimi siwezi kujua.

You never know. Inawezekana nilikuwa nimeoa lakini tuka-divorce? Au sijaoa lakini nimefunzwa hayo mambo?
 
Ni kweli kabisa. Hata mimi nina maujuzi toka kwa somo... Ndio maana niliuliza.
Bila kujali ulijifunzaje nakutakia kuanza kushiriki tendo kwa kuliona kama zawadi, na wala sio haki.
 
Sex is not a gift. Gifts can be returned if you don't like them. So, what is the sex return policy?
 
Mwali, Merry xmas! Kwako wewe zawadi ni nini?(hasa katika muktadha wa hoja yako katika suala hili). Inawezekana debate yote hii inatokana na tofauti ya maana (definition) iliyopo baina ya wachangiaji tu.

Hapo kwenye red, kama nimesoma vizuri mind yako...kimsingi unasema tendo la ndoa (katika ndoa) sio zawadi ila wanandoa wanapaswa kulichikulia (kuliona) ni 'zawadi'....is this what you were, all along, trying to say?

Kwangu mimi zawadi ("Gift") inakoma kuwa "zawadi" kama kwa namna moja ama nyingine inafungamana/inafungamanishwa na haki, wajibu ama vyote kwa pamoja!
 
Mwali, Merry xmas! Kwako wewe zawadi ni nini?(hasa katika muktadha wa hoja yako katika suala hili). Inawezekana debate yote hii inatokana na tofauti ya maana (definition) iliyopo baina ya wachangiaji tu.

Hapo kwenye red, kama nikisoma mind yako...kimsingi unasema tendo la ndoa (katika ndoa) sio zawadi ila wanandoa wanapaswa kulichikulia (kuliona) ni 'zawadi'....is this what you are actually saying?

Kwangu mimi zawadi ("Gift") inakoma kuwa "zawadi" kama kwa namna moja ama nyingine inafungamana/inafungamanishwa na haki, wajibu ama vyote kwa pamoja!
No, mi nimesema toka mwanzo kua tendo la ndoa ni zawadi na nilikua na muomba rafiki yangu EMT aache kabisa kuona kama ni haki. Ukisoma post za nyuma utaona yeye alikua akipendekeza kua ni haki na ndio maana isipo tolewa inasababisha ndoa kuvunjika. Alitofautisha zawadi na haki.
Mi nikamjibu kua kushiriki tendo la ndoa ni zawadi ya mtu kwa mpenzi wake, ila kwa sababu fulani fulani (hasira, mapenzi kuisha) wanaweza kunyimana. Hivo zawadi ya tendo la ndoa ni alama ya kua uhusiano bado kuna mapenzi...
 
Sex is not a gift. Gifts can be returned if you don't like them. So, what is the sex return policy?
Sio kila zawadi inaweza rudishwa. Kuna ambazo ni consumable, zingine immaterial...
 
Tanesco wameniharibia sikukuu
tangu jana asubuhi hakuna umeme hadi sasa

nimeshindwa kwenda kanisani ngu hazijanyooshwa
nimeshindwa andaa breakfast niipendayo maana ni mtu wa kuoka na kuchoma
nimeshindwa fuatilia hata misa kwenye Tv
nimeshindwa mchinja huyu mbuzi maana kisu cha umeme

nina kisirani leo.

kongosho hatimaye umeibuka! habari ya subhiii,karibu sana km huna majukumu mengine asubuhi hii km mm.
 
No, mi nimesema toka mwanzo kua tendo la ndoa ni zawadi na nilikua na muomba rafiki yangu EMT aache kabisa kuona kama ni haki. Ukisoma post za nyuma utaona yeye alikua akipendekeza kua ni haki na ndio maana isipo tolewa inasababisha ndoa kuvunjika. Alitofautisha zawadi na haki.
Mi nikamjibu kua kushiriki tendo la ndoa ni zawadi ya mtu kwa mpenzi wake, ila kwa sababu fulani fulani (hasira, mapenzi kuisha) wanaweza kunyimana. Hivo zawadi ya tendo la ndoa ni alama ya kua uhusiano bado kuna mapenzi...

Hiyo ni sawa lakini bado hujasema kwako wewe "zawadi" ni nini? Mimi pia nasita kukubali hoja yako kwa sababu kwa definition yangu ya zawadi (nimeitoa hapo juu), tendo la ndoa katika ndoa sio zawadi (strictly speaking!). Naweza kukubali mtizamo wako kuwa wanandoa "wachukulie/waone tendo la ndoa kama zawadi".
 
Back
Top Bottom