UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,341
Exactly 💯 !Zawadi ni Takrima😂 sio rushwa.
Tofauti ya Rushwa na Takrima ni namna ambavyo inakuwa induced.
Ikiwa mtu atatoa kitu kwa hiari yake kama shukurani hio si rushwa ni Takrima. Hii ni kama mtu kutoa Tip.
Ikiwa mtu atapewa condition kwamba ili upate au ufanikishe jambo lako toa kiasi flani au twende lodge hio ni rushwa without a doubt.