Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Mfungo wa ajabu kwa sababu dhulma dhidi ya Wabara kama kawaida, pia TRA inahujumiwa kila kona ili pesa isende Bara, matakataka toka arabuni yote yanaingizwa bila kulipia kodi stahiki halafu yanasukumizwa Bara kwa kupitia njia za Wavuvi. Yaani full hujuma ya Uchumi wa Tanzania na lao wote moja. Amini usiamini.
 
basi Fanya kutupia kipengele kwenye katiba ya Zanzibar kinacotamka huo ushuzi

Kama unataka kipengele cha katiba utapewa tena sio kimoja!! Karibu Zanzibar uje ule chakula au kinywaji mchana wa ramadhani, nakuhakikishia wananchi wa kawaida tu watakupatia vipengele vya kutosha na baada serikali itakupa katiba yenyewe.
 
Yaani hakuna watu nawahurumia kama watu wasio kula kitimoto.

Kitimoto tamu nyie daaaah, mashekh kibao tu huwa tunakipiga nao na msikitini wanazama kama kawa, sema kuna mmoja huyo akila lazima apandishe majini ,basi tunamsogezea pua ya nguruwe mixer ugoro ,akipiga chafya tatu tu basi jini lenyewe linasepa
Achana na mambo ya imani ya dini ,kama kweli umeenda shule na unaijali afya yako huwezi ukamla nguruwe labda uwe na akili finyu


Nguruwe ana madhara mengi sana kiafya .
 
Watu wengi sana Zanzibar wanakatisha T.R.A feki kwa robo ya bei, kila mtu anajua na hawasemani, ilimradi gari imebandikwa stika na pesa imebaki kwao.
 
Lakini ni suala ambalo lipo wazi kabisa hata waziri mkuu mstaafu Pinda Kayanza aliwahi kulitolea ufafanuzi, zaidi ya 90% ya wakazi wote ni waislamu..so hapa tunatekeleza tu 'wengi wape'...sidhani kama ni udini!
Huwa nasikia serikali haina dini au nilisikia vibaya.
 
watu kwa kupenda kupindisha mambo,
hamjaambiwa MSILE ila mmeambiwa MSILE HADHARANI...

Hata hivyo sheria ndio ishapita kifuatacho ni utekelezaji,
Tii sheria bila kushurutishwa.
Ila sio kitu kizuri kwa kweli

Iwe kula hadharani au isiwe hadharani serikali haipaswi kuingilia

Ningewaona wa maana zaidi kama kungekuwa na makubaliano kwa waislamu wote kutouza chakula nyakati za asubuhi na mchana lakini si kuwazuiaa wakristo ,ni jambo la ajabu sana

Nchi kama ingekuwa ni ya kiislamu hilo tamko lisingekuwa na ubaya wowote ila nchi inajulikana wazi kuwa si nchi ya kidini lakini inafanya mambo kama haya ,aisee ni ajabu sana.
 
wanashangaa ya zanzibar wakati sasa hivi ofisi zote za serikali kama umevaa kimini, suruali ya kubana, jeans ya kuchanwa chanwa, mlegezo, kapelo, nguo inayoacha makwapa wazi, na mfanano wa hivyo.

Huruhusiwi kuingia ndani huoni kama hao nao wanaingilia uhuru wa mavazi?? mbona hamlalamiki.
Sasa hayo mavazi unayoongelea hayafuati maadili yetu ya kiafrika kwa hiyo lazima yadhibitiwe
 
ila kufuturu raha
0113.jpg

Hapa wanakula hadharani?
 
wakuu mbona swala dogo linawatoa povu sana??????
hamjalielewa tangazo hakuna mtu kakatazwa kula wewe nunua msosi wako tafuta sehemu ya stara kisha kula utakavyo kisichotakiwa ni kula hadharani


Umenisoma kwa umakini? Mtu anunue chakula atafute pa kujificha tena? Nikinunua hata karanga kisha nitafute pa kujificha? Je, kosa ni kula hadharani tu ila nikila mafichoni dhambi hiyo hiyo inageuka na kuwa sunah? Kwa hiyo ukichukua mke Wa mtu na usigundulike inakuwa sio kosa ila ukitembea naye sokoni ndio inakuwa dhambi? Hiyo ndo Falsafa wanayoieleza SMZ?
 
Hakuna kero hapo
Kero ni kubwa mno,hapa ndo nimeamini kwa nini somalia tabu tupu,misri,libya,nigeria,sudani,sria na zote ni nchi za kiislamu.Na wakimbizi wote hatuwaoni mkikimbilia saudia kwa wapendwa wenzenu bali mwakimbilia nchi za mnaowaita makafiri.
Hakika yafaa mzaliwe mara ya pili mko utumwani.Imani ni hiyari siyo lazima.
 
Kero ni kubwa mno,hapa ndo nimeamini kwa nini somalia tabu tupu,misri,libya,nigeria,sudani,sria na zote ni nchi za kiislamu.Na wakimbizi wote hatuwaoni mkikimbilia saudia kwa wapendwa wenzenu bali mwakimbilia nchi za mnaowaita makafiri.
Hakika yafaa mzaliwe mara ya pili mko utumwani.Imani ni hiyari siyo lazima.
Unaandika mambo mengi mpk unatoka nje ya mada
 
Tunakokwenda mm sikujui ufunge ww ni sile mm, hapana kabisa
Kwa nini kutumia nguvu za dola kuendesha dini? Kwa nini kulazimisha watu kufuata dini fulani? Mambo ya imani na dini ni private affair.Kwanini kulazimisha watu? Kuna maswali mengi juu ya dhana ya dini.Sipendi kuwa mfuasi wa dini yoyote.
 
Unaandika mambo mengi mpk unatoka nje ya mada
Tatizo hujui chanzo cha migogoro ktk nchi zisizo na amani.Ni mambo kama hayo ya kukoseshana uhuru na amani kwa mambo ambayo kundi jingine halihusiki.Nyinyi wenyewe waislam hamuko wamoja leo mnatulazimisha na wengine tutii mila zenu ambazo hazituhusu.
Leo huko zanzibar mtu akibeba mimba bila ndoa lazima ajute.Sasa mnawapa mimba dada zenu huko halafu mnawakimbizia bara waje kuishi na kujifungulia huku ili kujiepusha na sheria za kadhia.
Mnafinyanga mazimwi ambayo baadaye yanaanza kuwatisha tena.
Mnahitaji uponyaji wa kiroho hamko huru.
Hivi ukifanya mapenzi na mke wa mtu umefichama au hadharani dhambi si ni ileile?.Kula mafichoni na hadharani tofauti ni ipi?.
Siyo kosa lenu hiyo elimu ya madrasa ifumuliwe iundwe upya inawaponza sana.Kwanza sioni hoja hata moja ya maana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom