chemistryj
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 238
- 148
Zanzibar ndio kwetu kwani 98% ni muslim kwa hiyo lazima wapigwe ban tu haina namna.
It is the notable principle that "Uhuru wako unaishia pale ambapo haki ya mwenzio inapoanzia". Kila mtu ana haki ya kulindwa na mamlaka za nchi bila kubaguliwa.Lakini ni suala ambalo lipo wazi kabisa hata waziri mkuu mstaafu Pinda Kayanza aliwahi kulitolea ufafanuzi, zaidi ya 90% ya wakazi wote ni waislamu..so hapa tunatekeleza tu 'wengi wape'...sidhani kama ni udini!

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.
Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.
Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.
Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu
Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.
Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.
Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Lakini bado si taifa la kiislamu.unaona au uhalisia huo😵😵😵
more than 90% ni Muslims
Zanzibar ni nchi ya waislam .unataka kipindi cha kwaresma wamtangazie nani?SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Well n' good mkuu..nadhani ukipata nafasi nenda katembee Zanzibar kisha uje na mrejesho hapa!It is the notable principle that "Uhuru wako unaishia pale ambapo haki ya mwenzio inapoanzia". Kila mtu ana haki ya kulindwa na mamlaka za nchi bila kubaguliwa.
Wakristo hata kama wangekuwa 100 tu ndani ya Zanzibar wana haki ya kuenjoy uhuru wao.Kwanini wakatazwe kula wanavyojisikia?
Kama wewe umefunga kweli huyo mtu mwingine anayekula anakuhusu nini??
Mantiki ya katazo hili ni nini? Kuhofia kutamanishwa au??
Zanzibar ni nchi ya waislam .unataka kipindi cha kwaresma wamtangazie nani?SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.
Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.
Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.
Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu
Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.
Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.
Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
TANZANIA haina dini kwa taarfa yako, .......na zanzibar hawaish waislam pek yao, mambo gani ayo sasa, kula nile mmi wewe ikuume, nikikulingishia sawa lkn, nakul kwa manufaa angu af unamind, nyie vipi??Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Mheshimiwa Khamis Juma Maalim ametahadharisha kuwa Mamlaka za kiseheria haziasita kuchukua hatua kali dhidi ya wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Mheshimiwa Khamis Juma Maalim alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua Serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Katika kufafanua juu ya tahadhari hiyo, Mheshimiwa Khamis Juma Maalim amesema kwa mujibu wa utamaduni wa wananchi wa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti.
Waislamu kote duniani wanatarajiwa kuanza funga ya mwezi Mtukufuku wa Ramadhani wiki ijayo kutegemea na mwandamo wa mwezi.
![]()
Hujakatazwa kula. Usile hadharani kwa sababu wengi wamefunga.na katika mafundisho ya dini mtu aliyefunga asitamanishwe na mapochopocho. Kaa ndani kwako pakia tani za kutosha ukitoka nje wajambie tu.Wewe umefunga.... Mwenzio anakula inakuuma nini...?? Hivi hawa ndugu zetu kama wana wakristo wanaishi nao watawaruhusu kula kweli? Au ndio ukiajiliwa au kuishi na muislam lazima ufate matakwa yake ya kidini...