Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Zanzibar hawafungi Kwerezma, wanafunga Ramadhani tu, hiyo Kwerezma ni mambo ya Tanganyika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom