Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,388
- 21,371
Mfano hapo unapoishi kuna watoto wadogo au wagonjwa ambao hawajafunga hawatakaangiza kisa eti ww utasikia harufu? Nonsense !!! .....Funga ni ww NA Mungu wako NA si kujionyesha machoni pa watu kama mufsnyavyoMkuu helewi nini?Wakristo na waislam ambao hawafungi hawajakatazwa kupika na kula. Wamekatazwa kupika na kula hadharani. Pika ndani kwako ila siyo umepanga mko wengi wewe umewasha jiko unakaanga wote wanasikia halafu useme upo kwako. hapo siyo kwako. Kuwa na nyumba yako ambayo haina maingiliano na wanaofunga kula hata ng'ombe mzima hakuna wa kukuuliza.