Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Tangu lini imani ikawa ya kulazimishana, kwani kuna mtu atamsindikiza mwenzie kwenye hukumu kama hizi sio sera za Islamic State?! Waislamu bwana!! Na pili Zanzibar kuna moja ya makanisa makubwa na kongwe zaidi hapa afrika mashariki ambacho ni kiashiria cha uwepo wa waumini wa kikristo hapo kisiwani, je hata wao wasile au wale kwa kificho kisa ni mwezi wa ramadhani?! Is this a case of Islamic fundamentalism as perpetrated by the Islamic State!
 
Rais Magufuli piga vita huu udini huko Zanzibar, Wakristo wasibughudhiwe,Kula mchana ni Haki yao

Raisi Magufuli Sheria na ndaro zake mwisho kisiwa Cha Chumba, Zanzibar hana uwezo wa kumhukumu au kumteua hata diwani!!

Si unakumbuka alivyosema ningekuwa mimi nisingesaini hela ya matibabu ya maalim.!!!!!?????
 
Ila sio kitu kizuri kwa kweli

Iwe kula hadharani au isiwe hadharani serikali haipaswi kuingilia

Ningewaona wa maana zaidi kama kungekuwa na makubaliano kwa waislamu wote kutouza chakula nyakati za asubuhi na mchana lakini si kuwazuiaa wakristo ,ni jambo la ajabu sana

Nchi kama ingekuwa ni ya kiislamu hilo tamko lisingekuwa na ubaya wowote ila nchi inajulikana wazi kuwa si nchi ya kidini lakini inafanya mambo kama haya ,aisee ni ajabu sana.
Naam, chakula hakiuzwi siku hizo lakini hapa sio lazima mtu anunue, anaweza kupika kwake na akala hadharani,

Ndg, huitaji kutumia darubini kujua kua Znz ni nchi ya kiislam, kama asilimia 98 ya wananchi wake ni waislam kwanini isiitwe nchi ya kiislam?? sema kinachofanya isitambulike kama ni nchi ya kiislam ni muungano hakuna zaidi.

Haya tusiende kwenye mambo ya dini, tuseme ni mila na desturi zao, kua kila ikifika mfungo wa Ramadhani vyakula haviuzwi mchana na watu hawaruhusiwi kula hadharani pia,

Basi angalau tuheshimu hii mila yao na serikali inatambua mila na desturi.
 
Znz ikifika kipindi cha ramadhani, ukienda dukani kununua vyakula vya fast food hawakuuziiw(mfano soda, mikate, maji)...
Na hata ukishikwa na kiu, ukasema uende kuomba maji kwenye nyumba hawakupi.
Inshort wanabana mianya yote ya watu kula mchana, unakuta vyakula vinauzwa hotels za kitalii tu,
Na hata kama ni mkristo, wakikuona unakula njiani wanaweza kukufanyia vurugu,
Sio kweli aise last year, nilikuwepo wanauza frsh tu ila inabidi ule sehemu ambayo huonekani.
 
[
na katika mafundisho ya dini mtu aliyefunga asitamanishwe na mapochopocho.

Hapo ndio penye utata. Ukiwa na imani ya kweli ya dini yako utayashinda majaribu yoyote. Huna haja kulazimisha wengine wasifanye yao hadharani eti kisa utatamanishwa.
Msiwe na imani haba. Thawabu utaipata kwa kuvishinda vishawishi na matamanio ya kilimwengu.
 
Sasa hayo mavazi unayoongelea hayafuati maadili yetu ya kiafrika kwa hiyo lazima yadhibitiwe
Kwa hiyo siku hizi tunapaswa kuvaa kiafrika??? Tuwekewe vazi la taifa basi, tujitwike kaniki zetu au vitenge au kanga au batiki au bazee.
 
Kero ni kubwa mno,hapa ndo nimeamini kwa nini somalia tabu tupu,misri,libya,nigeria,sudani,sria na zote ni nchi za kiislamu.Na wakimbizi wote hatuwaoni mkikimbilia saudia kwa wapendwa wenzenu bali mwakimbilia nchi za mnaowaita makafiri.
Hakika yafaa mzaliwe mara ya pili mko utumwani.Imani ni hiyari siyo lazima.
Kama hujui uliza nchini saidi arabia kuna wakimbizi wa nchi mbalimbali zaidi ya milioni mbili na hawakai kwenye mahema wala hakuna kambi za wakimbizi wamepewa nyumba wote na wameruhusiwa kufanya kazi wanapewa huduma ya hospitali bure watoto wao wanaenda mashule ya serikali na wanapewa haki nyingi tu Nchi za kiislamu hawapendi kutangaza. Tayizo lenu nyinyi mnapenda kutangaza sana hata mamvo ya aibu ya kulana tigo au wanawake wenu kusagana pia mnatangaza. Hizo nchi ulizotaja hapo juu wanapigania kutokuletewa nchini mwao muislamu anaona ni bure afe kuliko kulazimishwa ushoga
 
Naomba nisahihishe kidogo hapo watu mnapolaumu kua Serikali haina dini,

Hii dhana naona imepotoshwa ima kwa kutokuelewa au kwa makusudi ili kukinga kitu fulani.

Serikali haina dini lakini sio kama HAITAMBUI UWEPO wa dini,

Inatambua dini zote na kuheshimu, ndio maana utaona ndoa za kidini serikali inatambua, utaona kwenye mambo ya kiserikali viongozi wa dini zote huwepo na kutoa dua, yote kwa yote hata siku kuu za kidini serikali inatambua na kuzifanya kua za kitaifa bila kubagua,

Sasa tukirudi katika suala la Znz kwa serikali kutoa tamko hilo wala sio kama wamekiuka ila imeonesha vile inavyotambua uwepo wa dini na mila na desturi hivyo wameheshimu kwa kutilia mkazo.
 
Kama hujui uliza nchini saidi arabia kuna wakimbizi wa nchi mbalimbali zaidi ya milioni mbili na hawakai kwenye mahema wala hakuna kambi za wakimbizi wamepewa nyumba wote na wameruhusiwa kufanya kazi wanapewa huduma ya hospitali bure watoto wao wanaenda mashule ya serikali na wanapewa haki nyingi tu Nchi za kiislamu hawapendi kutangaza. Tayizo lenu nyinyi mnapenda kutangaza sana hata mamvo ya aibu ya kulana tigo au wanawake wenu kusagana pia mnatangaza. Hizo nchi ulizotaja hapo juu wanapigania kutokuletewa nchini mwao muislamu anaona ni bure afe kuliko kulazimishwa ushoga
Mbona ushoga ulianzia zanzibar nchi ya kiislamu ama hujui.Nchini tanzania bara huku neno shoga hawakulijua kabisa.Asili ya neno hili ni zanzibar mahali ambapo sheria ya mapenzi bila ndoa ni karibu ya kifo hivyo watu walilazimishana madume kwa madume kwa kuwa dume kumpata binti bila ndoa ni kazi.
Huku bara kutafunana bila ndoa haina shida.
Ndiyo maana ushoga na kufilana vimetapakaa mikoa ya pwani vikitokea zanzibar.Wadanganye wengine siyo mimi.
Mnaogopa zimwi lenu la ushoga mlilolifi nyanga wenyewe kwa sheria kali za kuzuia watu kutafunana bila ndoa.
Jiulize kati ya rukwa na tanga wapi kuna mashoga,jiulize kati ya mbeya na dar wapi kuna mashoga,jiulize kati ya arusha na mtwara wapi kuna mashoga.Utapata jibu zanzibar ndiyo chimbuko la ushoga kwa Tanzania.Karibu tena.
 
Zanzibar si nchi ya kiislamu ila watu wake ni waislamu. Kama ushoga upo ni kuwa upo tu. Sasa hivi watu wa bara wameanza kuuchangamkia ushoga na wengi wao sio waislamu hasa baada ya kuona kumbe kanisa limehalalisha
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
Kumcha Mungu ni hiyari ya mtu kwa kuwa Mungu ni Mungu wa demokrasia,Mungu wa kulazimishwa kufuatwa bila hiyari ya mtu anaweza asiwe Mungu wa kweli.
 
Znz ikifika kipindi cha ramadhani, ukienda dukani kununua vyakula vya fast food hawakuuziiw(mfano soda, mikate, maji)...
Na hata ukishikwa na kiu, ukasema uende kuomba maji kwenye nyumba hawakupi.
Inshort wanabana mianya yote ya watu kula mchana, unakuta vyakula vinauzwa hotels za kitalii tu,
Na hata kama ni mkristo, wakikuona unakula njiani wanaweza kukufanyia vurugu,
Ipo poa unaonaje? acha kulala dogo kuna jela !
 
Nilivyoelewa ni usile hadhran. Ni kama tunavyozuia uvaaj wa kimini ili wanaume wasipatwe mifadhaiko. sema zanzibar wamegusa idara nyet ya dini. Mambo haya hushamiri jamii ambapo elimu ahera ni kubwa kuliko elim dunia. Hata wasabato tuliona wakitaka kupanda ndege bure. DAWA YA ZANZIBAR NI KUHAKIKISHA JAMHURI INAWEKA MPANGO MAALUM KILA RAIA KULE ASOME HADI CHUO. NA AJIRA WENGI WAPELEKWE BARA NA WA BARA WAJAE ZANZIBAR. Kwa vile tunahitaji usalama na tuwekeze hivyo. Ndoto yangu ni siku moja tuwe na nchi iitwayo TANZANIA. Zanzibar kuwe tu na mikoa. NCHI MOJA, KATIBA MOJA, RAIS MMOJA
 
Je kweli wanafunga kwa dhati, au ni unafiki, mbona kiti moto wanakula huku wakijificha, pombe wanakunywa huku wanajificha, mbona wanafiki vile
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mkuu imani ya MTU si uthibitisho wa utakatifu.

Ndo maana unaona siku ya IJUMAA YA KUU watu hawali nyama kwa imani lakini siku hiyo hiyo yupo gesti na mke wa mtu anazin nae.

Imani imani [emoji120]

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom