Ikiwezekana ukifika pale K\koo pitiliza mpaka Feri...then upasue maji mpaka Zenji...si umesikia kule Waumini ni 90%.Jamani sisi wakulima huku mpanda tunauliza hizo kodi 100 walizofuta kwenye mazao ni zipi,
nataka nijue kwani nina roli limejaa viazi vya futari hapa nataka kulielekeza uelekeo wa kariakor nataka kujua kama vat ya mazao ipo ama haimo
'WHEN YOU GO TO ROME, DO AS THE ROMANS DO'Ikiwezekana ukifika pale K\koo pitiliza mpaka Feri...then upasue maji mpaka Zenji...si umesikia kule Waumini ni 90%.
Ddduh. We kiboko. Unajua maana ya swaumu lkn?Mkuu tusitawaliwe na jaziba.Tujadili mambo kwa mantiki.Kama kula hadharani wakati Wa mfungo ni haramu mbona ninyi wenyewe ikifika jioni wakati Wa kufuturu munafanya hivyo hadharani? Wengi wenu munatandika mikeka nje ya nyumba na mitaani na kuanza kula? Je,huyo Mungu anabadilika badilika? Asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni anakataza na baada ya hapo anaruhusu watu watu wale hadharani? Dini
Na Mbado !Wewe umefunga.... Mwenzio anakula inakuuma nini...?? Hivi hawa ndugu zetu kama wana wakristo wanaishi nao watawaruhusu kula kweli? Au ndio ukiajiliwa au kuishi na muislam lazima ufate matakwa yake ya kidini...
Hawatokaa wakuelewe.Hivi wewe ukiwa umefunga nami nakula chakula changu hadharani inakuuma nini....!!?? Hivi ina maana wakristo huwa hatufungi?? Mbona tunaishi na nyie vizuri...
Hata kama mfanyakazi wako wa ndani kama siyo muislam mpe uhuru ale kwa muda wake... Wewe uliyefunga uko na Mungu wako... Kumnyima uhuru mwenzio kisa umefunga hain maana... Na mfungo wako ni batiri...
Hilo nalo liingizwe kwenye kero za Muungano lishughulikiwe kina mura kule tarime wasile mchana mwezi wa ramadhani tudumishe Muungano wetuMimi nashauri hata Tanganyika iwe ni marufuku kula hadharani mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani