Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Nilivyoelewa ni usile hadhran. Ni kama tunavyozuia uvaaj wa kimini ili wanaume wasipatwe mifadhaiko. sema zanzibar wamegusa idara nyet ya dini. Mambo haya hushamiri jamii ambapo elimu ahera ni kubwa kuliko elim dunia. Hata wasabato tuliona wakitaka kupanda ndege bure. DAWA YA ZANZIBAR NI KUHAKIKISHA JAMHURI INAWEKA MPANGO MAALUM KILA RAIA KULE ASOME HADI CHUO. NA AJIRA WENGI WAPELEKWE BARA NA WA BARA WAJAE ZANZIBAR. Kwa vile tunahitaji usalama na tuwekeze hivyo. Ndoto yangu ni siku moja tuwe na nchi iitwayo TANZANIA. Zanzibar kuwe tu na mikoa. NCHI MOJA, KATIBA MOJA, RAIS MMOJA
Hiyo ndio dawa pekee, kutimiza ndoto na plani ya Waasisi, yaani Serikali 2 kwenda 1. JAMHURI YA TANZANIA tu. Wataandamana lakini wapemba ni waogoga mno.
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu


Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
It is Islamic state with more than 99% Muslims..... Na kila mwaka SMZ wanatoa tahadhar hiyo...... Ipo kwenye sharia
 
mila hizi za waarabu zinapoleta ubaguzi kwenye ngozi nyeusi..
nani kasema mtu mweusi ataingia peponi kwa kuabudu mila za waarabu na mayahudi ?
tusikandamizane kwa mila tunazotumikishwa kwa misaada ya tende..
WENYE ROHO SAFI NDIO WATAIONA PEPO HAIJALISHI UNAMTAFUTA MUNGU KUPITIA MATAMBIKO YENYE ASILI YA MAPANGONI AU MILIMANI.
 
Kama hujui uliza nchini saidi arabia kuna wakimbizi wa nchi mbalimbali zaidi ya milioni mbili na hawakai kwenye mahema wala hakuna kambi za wakimbizi wamepewa nyumba wote na wameruhusiwa kufanya kazi wanapewa huduma ya hospitali bure watoto wao wanaenda mashule ya serikali na wanapewa haki nyingi tu Nchi za kiislamu hawapendi kutangaza. Tayizo lenu nyinyi mnapenda kutangaza sana hata mamvo ya aibu ya kulana tigo au wanawake wenu kusagana pia mnatangaza. Hizo nchi ulizotaja hapo juu wanapigania kutokuletewa nchini mwao muislamu anaona ni bure afe kuliko kulazimishwa ushoga
Tutajie hao wakimbizi na walipotoka.
 
Ujinga tz ni wa viwango vya dunia. Hivi we ukifunga mi nisipofunga na nikaendelea kula kwa uliefunga unaumia nn? Au umefunga kwa vile ni kipindi cha mfungo? Mbona wakristu wakifunga wenyewe huwa wanagonga tu vyakula? Mijitu mingine shida kweli ndoo maana Mkuu wa Marekani hawataki hao magaidi
 
Naomba kuuliza mbna wakati wa Ramadhan kitimoto huwa haiuziki kwa xana AF hata wateja wa bar hupungua
 
Serikali inajuwa si waislam wote wanafunga, na haijalazimisha kufunga kuwa mwelewa. KILICHOKATAZWA NI KULA HADHARANI KWENYE MWEZI HUU MTUKUFU. Kwani wewe unaweza kutembea na mkeo hadharani alimradi umemwoa kwa ndoa halali? Tafuta nyumba yako fakamia kitimoto chako huko ndani hakuna atakayekuja kupima tumbo lako kama umekula ama la. Halafu jioni unakaribishwa futari ya bure na unakula tena. Huu ndo ukarimu wa Wazanzibar.

Narudia tena, iwapo nimekula hadharani ukinipeleka mbele ya sheria ni kifungu kipi kitatumika kuniweka hatiani? Ni wajibu wa serekali kuhakikisha watu wote wanafunga? Kwenda kwa Mungu ni hiyari na sidhani ni kulazimishana. Sipingi hilo la kutokula hadharani napinga serekali kutaka kusimamia jambo hilo la kiimani kwani ni jambo la hiari na sio jukumu la serekali kwa watu wake.
 
Zanzibar si nchi ya kiislamu ila watu wake ni waislamu. Kama ushoga upo ni kuwa upo tu. Sasa hivi watu wa bara wameanza kuuchangamkia ushoga na wengi wao sio waislamu hasa baada ya kuona kumbe kanisa limehalalisha
Umesema watu wa bara wameanza kuuchangamkia ushoga hakika uko sahihi.Ndiyo maana nikasema unatoka Zanzibar unaflow kuja bara.Ndiyo maana coastal regions zote umetapakaa ukitokea zanzibar na hayo maeneo ndo uislamu ni mkubwa.
Hata hivyo unapingwa mno maana sisi tuko huru hatufungwi na sharia kali kama huko.
Acheni kuwapa mimba dada zenu na kuwakimbizia mtwara,tanga,dar na mombasa ili kuepuka adhabu ni dhambi.Mmepewa dini harafu hamuitaki.
 
Zanzibar si nchi ya kiislamu ila watu wake ni waislamu. Kama ushoga upo ni kuwa upo tu. Sasa hivi watu wa bara wameanza kuuchangamkia ushoga na wengi wao sio waislamu hasa baada ya kuona kumbe kanisa limehalalisha
Pia kama si ulimbukeni mnajua kuwa zanzibar siyo nchi ya kiislamu mnalazimisha uislamu kwa wote.Ujue hata wengine wana imani zao lakini hawakulazimishi uzifuate,hamjui hata kujenga hoja.
 
Waislamu walazimishwe wasilazimishwe haikuhusu. Angalia Kwaresma yako

Halafu nani kakuambia kufunga saumu ya ramadhani ni hiari? Hamjui kitu nyinyi.

Pole, naona unadhani kila anayekosoa suala hili ni mkristo. Na wala huelewi nini kinazungumzwa hapa. Tulio wengi tunapinga hilo suala la kiimani kusimamiwa na serekali. Shawishini watu wafunge na sio kushurutisha watu wafunge.
 
Hivi ni kweli waislamu ndiyo wenye matatizo au wengine ndio wenye matatizo na waislamu?

Nasema hivyo kwa sababu huko ulaya kuna nchi ambazo zimepiga marufuku aina ya mavazi ambayo huvaliwa na wanawake wa kiislamu na kuna mambo mengi tu ambayo yanakuwa yanawakwaza waislamu,ila mwisho wa siku watu husema waislamu kama hawataki kufuata taratibu na tamaduni za nchi za watu basi warudi kwao ingawa hizo nchi za ulaya si nchi za dini yeyote.

Lakini ajabu kinachotokea hapo Zanzibar ambapo waislamu ni wengi na wana utamaduni wao wenyewe ila bado watu huona waislamu wana matatizo,na si Zanzibar tu hata katika nchi za kiislamu kabisa bado huonekana waislamu wana matatizo.


Ndiyo nauliza tatizo ni waislamu au watu wana matatizo na waislamu?
Watu wengine hawana matatizo ila waislam. Nafikiri unajua wazi wanaume nao kuna mda wanavaa hijab kwenda kufanya ugaid, wizi nk. Ndo maana wamepiga mrafuku. Halafhwa knaitu sikindi am nitata nafasi ya kuwa rais nitakifutilia mbali. Adhana. Hii ni kero unakuta mispika usiku saa kumi wanaadhiniswal swala. Mnaamsha hata ambao haiwahusu. Kwa nn msiamshane nyie kwa nyie. Huko znz ukipatikana unakula mwezi wa ramadhani unashida, ukiuza chakula mchana mwezi wa ramadhani unashida
 
Kwani wakrusto hatufungiii, basi mbona nyie mnakula tu wakati wa mfungo wa pasaka. Hamuoni ya kuwa ninyi ni wasumbufu
 
Mnaorukaruka kwenye makanisa ya kuombewa mtahangaika sana tulieni ndani ya kanisa takatifu KATOLIKI la mitume
Na wewe ndio unapotoka kabisaa yaani hilo kanisa la kulawiti vitoto vya kiume vya kwaya na kulala wa "watawa" hilo halifai kabisa yaani ni ushetani mtupu. Mlianza kukutana makanisani na wanawake zenu kuvaa utupu mkaushabikia uzinifu mkazaa wanaharamu na sasa wanawake mumewachoka mnaanza kufirana nyinyi, kusagaba nyinyi ,kulawiti vitoto vya kiume nyinyi, utapeli wa maombi nyinyi ,mauaji ya halaiki duniani nyinyi, kuvamia nchi za watu na kuua na kuharibu mali ni wakiristo laaana. Fitina na kusababisha vita kwa maslahi yenu ni nyinyi. Watu waki resist mnawaita majina mabaya. Hii laaana yenu ndio maana ukiristo unakufa ulaya. Yaliyobaki ni majina ya kikiristo lakini hakuna na wala hawautaki. Mijinga na laaana ni huku Africa.
Umesema watu wa bara wameanza kuuchangamkia ushoga hakika uko sahihi.Ndiyo maana nikasema unatoka Zanzibar unaflow kuja bara.Ndiyo maana coastal regions zote umetapakaa ukitokea zanzibar na hayo maeneo ndo uislamu ni mkubwa.
Hata hivyo unapingwa mno maana sisi tuko huru hatufungwi na sharia kali kama huko.
Acheni kuwapa mimba dada zenu na kuwakimbizia mtwara,tanga,dar na mombasa ili kuepuka adhabu ni dhambi.Mmepewa dini harafu hamuitaki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom