Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Unamacho hukumuona maalim Seif akiwemo ndani ya covid -19, je masikio pia huna ya kusikia kuwa maalim amemkanyaga kirusi wa korona ? mtu maarufu wengi wetu tunamjua hakusingiziwa wala hakutafuta upumbavu wa kiki.

La ajabu wanazuka mazumbukuku wanakwambia Tanzania hakuna huu ugonjwa wa Covid .tena kwenye mikutano na wamezungukwa na vyombo vya habari,watu hawa hawamtendei vizuri Raisi wa Jamhuri,Hivi Magufuli alikataza mtu asiseme kama korona ipo ? Anavypfanya tunweza kusema anaiponda korona na sio anasema haipo,anatwambia tuombe Mungu lakini sio anasema korona haipo.

Hawa maviongozi wasio jielewa kwa kweli ni mzigo mzito sana na ni hatari kwa Taifa. Ukweli siku zote unakuja juu na maalim kumkanyaga kirusi ni ukweli kuja juu,sasa kama mnangojea ukweli ufike kileleni subiri atakapoukanyaga Magufuli au Mama Samiha Suruhu au konde boy Majaliwa.

Leo kuzuka mtu kusema Tz hakuna Korona huyo jamaa lazima kapimwe akili ndio wale waliosemwa wanamacho lakini hawaoni na wanamasikio lakini hawasikii.
 
Wewe peleka upumbavu wako huko! Kama kuna corona unataka sisi tufanyaje sasa?

Umeshaambiwa njia za kujikinga, fuata hizo, kama ni kujifungia ndani jifungie, kama ni kuvaa sana barakoa vaa.

Hizi kelele za hoo hawaemi kama corona ipo, mnataka awatangazie nani? Alafu iweje?
 
Hata Mimi nashangazwa sana na hilo,,
Kama unahisi ugonjwa upo wewe chukuwa tahadhari..

Mbona unapovaa au kutokuvaa kinga ( condom) wanavaa au kutokuvaa kwa hiyari yao?
Mbona hawapigi kelele?

Jikinge,,chukuwa tahadhari,,
Sioni faida ya kelele zaidi ya kuharibiana maisha..

Hivi watanzania tukipigwa ban kuingia inchi za nje itakuwa faida gani?
 
Inna lilah wainna ilayh rajiuun
IMG-20210217-WA0023.jpg
 
Siku moja watoto walienda mtoni kuchota majio, kufika mtoni wakamuona chura yuko kwenye maji, wakaanza kushindana kumrushia mawe wakitaka kujua nani mwenye shabaha zaidi....kwa huzuni yule chura akapaza sauti ya upole "Mchezo wenu ni mauti yangu".
 
Eti tumwombee apate nafuu !je nini kimefanyika kwa zile familia pale Pemba ambazo wapendwa wao waliuliwa na trigger happy cops chini ya amri za kidikteta?na mbaya zaidi wamesalitiwa wakati wao they payed the max penalty?to hell hata akifa kwa covid kwangu its ok.
Haya, umeridhika sasa? Kauli hizi...duuh
 
Haya, umeridhika sasa?
emoji2369.png
Kauli hizi...duuh
Msimamo wangu ni ule ule ,usaliti mkubwa ulifanywa kwa wale wananchi who payed the max sentences,middle class wewe unaona wale waliopigwa live bullets na trigger happy policemen ni nyani isipokuwa huyu aliyekufa kwa covid 19 ndio wa kuzikwa kwa heshima na kuheshimiwa.
 
Haya mkuu
 
Back
Top Bottom