Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Duh umemkumbuka Boss wa zamani ,alitoka TBL akafungua Agency yake ya kuwa Executive Solution ilihusika sana kuandaa Kill marathon
Yeah, nimemkumbuka. kipindi hicho tulikuwa tunamuona sana akiwa kiongozi TBL.Duh umemkumbuka Boss wa zamani ,alitoka TBL akafungua Agency yake ya kuwa Executive Solution ilihusika sana kuandaa Kill marathon
Hamna allitambaa na vijana wenzie wakishua ka 10 hivi after party ghorofani huko juu kwake,😁😅😅😅Ulipiga wee, mmmh, Lol.
😂😂😂😂😂
Kufulia sio kweli mkuu sema umaarufu wa kwenye vyombo vya habari ndio hanaKafulia muda.
Yes pia alizaa na miss mwingine alikuwa anaishi KnyamaKafulia?! Nakumbuka alioa mdada alikuwa miss wakati huo
Huyu Kibo alihamia Mbezi beach, opposite na Jangwani Sea Breeze kuna jumba moja hivi lina garden kubwa, pamoja na mambo yao ya upinde alipata watoto wawili nadhani, Mkubwa akiwa Christine Marealle wanaishi MarekaniNadhani ndio huyo, jina lake aliitwa Kibo Marealle.
Ndio huyo. Alikuwa ana kiwanda/kampuni ya pharmaceuticals.Huyu Kibo alihamia Mbezi beach, opposite na Jangwani Sea Breeze kuna jumba moja hivi lina garden kubwa, pamoja na mambo yao ya upinde alipata watoto wawili nadhani, Mkubwa akiwa Christine Marealle wanaishi Marekani
Mshua wao alikuwa na kashfa Mbezi beach pale anawalipa mateja na wakojani wakati ule wamshughulikie
Mkuu Kama ipo ipo unaposema kafulia. Ni vizuri ukafafanua. Isije ikawa ni hana umaarufu tofauti na zamani.Yes pia alizaa na miss mwingine alikuwa anaishi Knyama
Soma vizuri mkuu umeni miss quoteMkuu Kama ipo ipo unaposema kafulia. Ni vizuri ukafafanua. Isije ikawa ni hana umaarufu tofauti na zamani.
Nimekuelewa mkuu. Pole kwake. Maana alikuwa mtu mkubwa wakati huo.Soma vizuri mkuu umeni miss quote
Kwa bongo "Umaarufu unaenda sambamba na ukwasi"Kufulia sio kweli mkuu sema umaarufu wa kwenye vyombo vya habari ndio hana
Basi kweli jamaa mambo si mazuri kama alivyosema mdau Kama ipo ipoKwa bongo "Umaarufu unaenda sambamba na ukwasi"
His outfit-the Executive Solution - didn't perform per expectations. Consequently, he, the guy, lost both fame and money.