Serikali kwanini mnaficha hili

Serikali kwanini mnaficha hili

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,394
Reaction score
4,407
CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali �
Mwananchi +1
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo �

Hata hivyo CV ya kitaalumu au elimu haijawekwa wazi kwamba amesoma wapi vyuo alivyosoma miaka ya kusoma na hitimu elimu hizo, kwanini serikali inaficha CV muhimu kama hizi
au na yeye ni elimu ya hapa na pale kama wenzie tu 😂
Siku zote mtu muongeaji sana darasa hua ni zerobrainer yaani hamnazo serikali iweke wazi taarifa za kitaalumu za msemaji wake gerson msigwa
 
Jamaa kaungaunga nini?
 
Si alisema alitembea km 90 kwenda shule. Amesoma bwana🤣🤣🤣
 
Ndiyo maana press conferences nyingi zinaongozwa na vocal gymnastics tu.
 
CV fupi ya Gerson Msigwa
Jina kamili: Gerson Msigwa
Kazi/Maalum: Mwanahabari, msemaji wa serikali, mtumishi wa umma
Wadhifa aliowahi kushika:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais �
The Citizen
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali �
Mwananchi +1
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo �

Hata hivyo CV ya kitaalumu au elimu haijawekwa wazi kwamba amesoma wapi vyuo alivyosoma miaka ya kusoma na hitimu elimu hizo, kwanini serikali inaficha CV muhimu kama hizi
au na yeye ni elimu ya hapa na pale kama wenzie tu 😂
Siku zote mtu muongeaji sana darasa hua ni zerobrainer yaani hamnazo serikali iweke wazi taarifa za kitaalumu za msemaji wake gerson msigwa
Wale wale tu. Kapiga makelele sana tibisii.
Mama yao mwenyewe ana elimu ya kuunga unga. Unadhani itakuwaje kwa vichengerwa vyake?
 
Back
Top Bottom