Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,502
- 15,238
Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika.
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa anavutiwa naye. Ilikuwa ni mchakato kabisa.
Lakini siku hizi ukweli ni kwamba watu wengi hawatongozi tena, wanachofanya ni kutoa idea tu.
Yaani unaweka mazingira au unapendekeza kitu, halafu kama mtu yupo interested ataelewa tu.
Mfano mdogo:
Badala ya kusema:
“Naomba uwe girlfriend wangu”
Siku hizi mtu anasema tu:
“Unaonaje weekend hii uje home tupike kitu pamoja tucheki movie?”
Hapo hakuna mahali kasema anakutongoza, lakini idea tayari ipo mezani.
Mfano mwingine:
Badala ya kusema:
“Nakupenda sana, nataka tuwe wote”
Mtu atasema tu:
“Leo nilikuwa napita sehemu fulani nikakumbuka ungekuwa hapa tungekula kitu pamoja.”
Idea tayari imetolewa.
Mfano mwingine wa kawaida sana siku hizi:
“Unaonaje tukutane coffee kesho jioni tuongee kidogo?”
Au
“Weekend hii nina plan ya kuangalia movie mpya, ungependa kujoin?”
Hapo mtu hatongozi moja kwa moja, anatoa tu opportunity. Kama mtu ana interest ataingia kwenye hiyo idea.
Hata kwenye chatting hali ni hiyo hiyo.
Zamani ilikuwa:
“Naomba namba yako, nakupenda.”
Siku hizi ni rahisi sana:
“Tuendelee na hii story WhatsApp itakuwa rahisi.”
Ukikubali kutoa namba, story inaendelea yenyewe.
Mfano mwingine:
Badala ya kusema wazi “nataka tuwe karibu”, mtu anasema:
“Unaonaje siku moja nije nikutembelee hapo kwako?”
Au
“Unaonaje siku moja nikupikie?”
Au
“Unaonaje tukasafiri hata day trip tu tukapumzike?”
Hizi zote ni ideas.
Ukweli ni kwamba hii style imekuwa common sana kwa sababu watu wengi siku hizi hawataki kukataliwa moja kwa moja. Kwa hiyo wanaweka idea mezani.
Kama mtu ana interest ataishika.
Kama hana interest, ataiacha tu ipite kimya kimya bila drama.
Na mara nyingi mwanamke akipenda hiyo idea, hata yeye anaweza kuendeleza conversation kama vile:
“Weekend hii naweza nikaja, lakini nitakuja mchana.”
Au
“Hiyo movie tunaweza kuiangalia wapi?”
Hapo tayari mchezo umeanza.
Kwa kifupi:
Siku hizi mahusiano mengi yanaanza kwa ideas, sio kwa kutongoza rasmi kama zamani.
Mtu anaweka tu mazingira, halafu chemistry ikikubali mambo yanajiendeleza yenyewe.
Swali la kujiuliza ni hili:
Hii style mpya ya kutoa idea badala ya kutongoza moja kwa moja ni bora zaidi, au imeondoa ile ladha ya mahusiano ya zamani?
Me siku hizi natengeneza idea , demu akiipenda basi mchezo unakua umeisha hivyo