Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Humuoni Komando baada ya kudhukumu ushindi wa CUF amekuwa kipofu
Ndugu tusiwainguze Wapemba kwenye hili swala tukumbuke zilizotumika ktk chaguzi hizi mbili yaani 2015 -2018 ni kodi zetu kwa hiyo watu wanaokosa huduma kisa cha wenye tamaa majibu yao hutokana na maamuzi ya muhusika
 
Sawa pamoja na kwamba yupo huko ccm baada ya kutusaliti wananchi ni vema akafanyiwa maombi ili awe sober.
Kufanyiwa maombi kunaendana na confession /kukiri na kutubu.Sasa CCM wako tayari kwa hilo?Rejea Sakata la Boss wao na Bishop Kakobe.Neno"Kutubu" ni msamiati mgumu sana kawa hawa watu!
 
naona mnapoteza muda, siwaamini hata mara nusu, mtulia katulia kama jina lake anasubiri kuapishwa tu huko kwao sijui kibiti, sijui maneromango
 
Tunahitaji Uapishwe Mbunge Wetu Maana Karibia Bungee Letu Lita Anza Vikao Vyake Virefu, Utuwakilishe, Maana Manzoni Ulikosa Ushirikiano
 
Back
Top Bottom