Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.
Unaweza kuthibitisha hiki ulichokiandika hapa ?
 
Miaka ya nyuma kule kijijini kwetu ilikua ukitaka kutoa laani kali itakayoteketeza ukoo au hata kizazi kwa laana hiyo. Walkkua wanamtoa kafara binti ambaye ni bikira. I guess that binti ataondoka kama sio watu basi kizazi cha watu fulani

Chanzo ni huyu bwana

Ccm wamemficha rufiji


Swissme
 
Ndio jamaa yake wa karibu ndie aliyesema kuwa jamaa anacheka mwenyewe saa nyingine analia mwenyewe ccm imaeamua kumficha rufiji



Swissme
Sawa pamoja na kwamba yupo huko ccm baada ya kutusaliti wananchi ni vema akafanyiwa maombi ili awe sober.
 
Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018
Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.
Kawa kichaa yuko rufiji


Swissme
Jamaa yuko rufiji anacheka mwenyewe cheza na damu ya mnyonge.

Hahaha hadi umefungua ID mpya kuja kudanganya umma wakati ndugu yake wa karibu ndie kaleta taarifa lumumba na bado wewe



Swissme
Ndio jamaa yake wa karibu ndie aliyesema kuwa jamaa anacheka mwenyewe saa nyingine analia mwenyewe ccm imaeamua kumficha rufiji



Swissme
JF huwa haiangushi kwa taarifa mbalimbali.
Muda ukifika hizi kauli zitakuwa wazi kwa watu wote.
 
Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Kwaiyo unamshabikia mtulia

Kweli Tanzania ina mang'ombe
 
DAMU YA BINTI MBICHI MREMBO YULE INAMLILIA... AKFANYA MZAHA WANAWEZA KUKUTANA.. MTOTO MDOGO KAMA YULE KAFA KWA UZEMBE WA MTULIA KWA SABABU ANGEENDELEA NA UBUNGE WAKE HATA KAMA ANGEAMUA KUTOIKOSOA SERIKALI, ANGEOKOA KODI ZETU NA DAMU YA AKWILINA
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Bunge lipo linaendelea mpaka uulize hilo swali kama linaendelea si uangalie video clip kama bado aliaanza basi wewe ni mmoja wa wachache wasiojua kama mbunge akiwa jimboni kwake si lazima awe kama yupo katika kampeni sababu camera hazifuati ofisini kwa mbunge kwani alipokua CUF alikua anaonekana mitaani kama punguani???
 
Back
Top Bottom