Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018
Daaa! kweli kabisa kiongozi .kikubwa Mungu yupo na anampa kila mtu haki yake..
 
Pesa ya walipa kodi, pesa za Umma iliyotumika kumnunua, kurudia uchaguzi, kuhujumu wana chadema, kuwapiga, kuwabambikia kesi, kuwakamata, kuua watu na kujeruhi wengi inawauma watanzania kwani wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo tu, si kwa ajili ya kuwahujumu Wapinzani kisha kurudia chaguzi kwa gharama kubwa na kuwapora ushindi washindi na kumsimika mshindi feki toka CCM. Laana toka kwa wapiga kura zote zinamwandama Mtulia kwani hawakumchagua kwenye sanduku la kura.
Malipo hapahapa Duniani !!Mungu yupo japo haonekani
 
Tumuombee kama ni kweli, Mungu ni mwingi wa rehema na atamrehemu na kumsamehe kabisa
 
Back
Top Bottom