Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Hawana mpya wanafiq hao,kutwa kubuni aina mpya ya matusi na kueneza chuki tu!
 
Hahahhhhh aisee utaacha wana familia wakimbiane wakiona hii comment yko.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Acha alipe ujira wake afanane na shetani maana mkulu alisema wote tufanane na mashwetani.
 
Mkuu ulitaka aapishwe nje ya Bunge,,,lazima utakua umetumia majani ma tano aiseee
 
Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Yes of course
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Nimegundua kuwa mwandishi wa post hii ni zwazwa na Karai. Yaani hata utaratibu wa kuhapisha wabunge hujui? Hawa machadema jamani tena huyu ni kiongozi wa ngazi juu je wale wa kawaida wanakuaje sasa
 
Have u ever tried tu use a condom twice? Hahahahaha
 
Nimegundua kuwa mwandishi wa post hii ni zwazwa na Karai. Yaani hata utaratibu wa kuhapisha wabunge hujui? Hawa machadema jamani tena huyu ni kiongozi wa ngazi juu je wale wa kawaida wanakuaje sasa
Ukiona hivyo ujue kasoma kwa da'Mange. Machadema sasa hivi hayana muelekeo. Yamezungusha mikono weee, sasa misuli inawauma.
 
Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018

Jaribu kuwa una heshimu imani za wenzio. Yaani mazingira ya kifo cha yule binti ndo asomewe albadir kuwa kasababisha halafu impate!? Hii sasa Kali. Kwanin isiwe mfyatua risasi na muitisha maandamano yasiyo halali ? Kwanin isiwe muongoza maandamano yasiyo halali ?
 
Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018

Alipokuwa CUF alishikishwa Msahafu (Quran) Kichwani na kula yamini kuwa hataiacha CUF Kamwe, kiapo hicho ndicho pia kinamwandama Lipumba kwa sasa,
 
Nasikia siku hizi anaona siku zake kama kipusa kupitia mtandao pendwa wa 0659
 
Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Yuko hoi bin taabani. Kakiri kakake na leo anarudishwa Dar
 
Acheni uzushi huo......

hivi mtajisikiaje siku mkimuona anaapishwa? mtakuja mfute huu uzi? ni vyema mkajikita kwenye hoja lakini sio gossips
 
Back
Top Bottom