Nabisha ! Mtukufu Komando Salmin Amour Binadamu aliyejipa ukubwa kumshinda Mtume , anawezaje kuwa kipofu ? Acheni utani bhana .Mbona inajulikana kabisa kuwa ni kipofu? We unaishi dunia gani?
Ma2c next levelDa Mange kasema anableed mfululizo kule nyuma
Basi ndio hivyo. Nenda kamsaidie kushika fimbo ya kumwongoza njia.Nabisha ! Mtukufu Komando Salmin Amour Binadamu aliyejipa ukubwa kumshinda Mtume , anawezaje kuwa kipofu ? Acheni utani bhana .
Sahivi kakayako anableed ile mbaya, dada mkuu wa Taifa kasemaMtulia ukiondoa haya yaliyomtokea kwenye siasa,he is a good fella.Nimewahi kukutana naye kwenye shughuli za Kibunge,ni kijana aliyetulia sana sijui kitu gani kilimsibu!
Sio mimi ni Da MangeMa2c next level

Haa haa Kweli?Huyo dada kipimo chake ni 26/4.Baada ya hapo anaweza kuwa hero or zero.Sahivi kakayako anableed ile mbaya, dada mkuu wa Taifa kasema
Lo!Taarifa kutoka kwa watu wa karibu nae zinasema anahara damu, anachekacheka hivyo na mara nyingine analialia, kiufupi kadata aka kachenguka akili. Pls Hide My ID.![]()
kuna mpango wa kumbeba kwenye machela kuja kukanusha habari hiiNadhani kuna ukweli hapa. Kwa jinsi ccm wasivyopenda kudhihakiwa toka Habari hii itoke hadharani angesha shirikishwa kwenye matukio fond fent ili kuwaumbua wasemaji.
Lakini kimya hiki duu!
Taarifa kutoka kwa watu wa karibu nae zinasema anahara damu, anachekacheka hivyo na mara nyingine analialia, kiufupi kadata aka kachenguka akili. Pls Hide My ID.![]()
Bunge lina taratibu zake lkn huwa haliapishi vichaa.Hivi Wabunge wanaapishwa kiholela ama wanaapishwa bungeni(kwenye vikao vya Bunge)?...
Au siku hizi kuna utaratibu Mbunge akishateuliwa anaapishwa immediately....
Siasa hizi....Dah!
Kweli Abdul Mteketa alihusishwa na Jimbo la MORO enzi hizo Susanne Kiwanga na Regia Mtema walikuwa wanakimbiza sana wakiwa viti maalum Sasa Huyu Abdul ikadaiwa akamtenda hata hivyo haikusaidia Sana uchaguzi uliofuata aliangushwa na mwingine
Baba yake anaitwa Privatus Mtema ni mtu wa kusali Sana ,ni kiongozi wa Charismatic Katoliki
Hivi zipo size tofauti tofauti au zote size moja ili tuweze kumpelekea !!!Anavaa Always kama sisi dada zake na anacheka mwenyewe