Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaonekana? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Hivi Wabunge wanaapishwa kiholela ama wanaapishwa bungeni(kwenye vikao vya Bunge)?...

Au siku hizi kuna utaratibu Mbunge akishateuliwa anaapishwa immediately....

Siasa hizi....Dah!
 
kweli kuumwa is just a state of the mind,mwe leo nimeamini............huyo hata haitaji daktari anahitaji psychologist baasi
 
Miaka ya nyuma kule kijijini kwetu ilikua ukitaka kutoa laani kali itakayoteketeza ukoo au hata kizazi kwa laana hiyo. Walkkua wanamtoa kafara binti ambaye ni bikira. I guess that binti ataondoka kama sio watu basi kizazi cha watu fulani
Why virgin???
 
hizi porojo za bavicha sijui zitakwisha lini. mara zote tu wanaishi katika speculations, no concrete facts.
 
waswahili wanasema furaha haitafutwi inatengenezwa.

naona cdm na wafuasi wao wamejitengenezea furaha yenu hapa. angalau itawafariji mpaka 3/4 mtakuwa mmepata kingine cha kuwafurahisha
 
DAMU YA BINTI MBICHI MREMBO YULE INAMLILIA... AKFANYA MZAHA WANAWEZA KUKUTANA.. MTOTO MDOGO KAMA YULE KAFA KWA UZEMBE WA MTULIA KWA SABABU ANGEENDELEA NA UBUNGE WAKE HATA KAMA ANGEAMUA KUTOIKOSOA SERIKALI, ANGEOKOA KODI ZETU NA DAMU YA AKWILINA
Naye ishampata, sikiliza maneno take siku hizi, hayana vina wala mizani.
Acheni uzushi jamani mbona nilikuwa naye Leo?
 
Back
Top Bottom