Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Bavicha huwa wanafurahisha sana.Sina uhakika na nini kinaendelea kuhusu mtulia,lkn napatwa na wasiwasi juu ya UWEZO WA KIFIKRA KWA WAFUASI WA CHADEMA.Juz mbowe kaumwa na cjui anaendelea vipi,kwa siasa za kipuuzi toka kwa bavicha ilitakiwa uvccm nao waanze kutembeza propaganda za ooh albadili mara malipo ni hapahapa,karma nk.Hizi ni AKILI MFU.Wao huamini kila mwanaccm anayepata ttz ni malipo ya Mungu na dhana potofu za ramli ila viongozi wao wakipata mattz ni kutafuta huruma ya Mungu na kutafuta namna nzuri ya kuliongelea.

Chama kikifika kuongozwa na mtu wanayemwona kwenye Instagram tu kupokea maagizo yake, automatically wanachama lzm wawe na AKILI MGANDO.

Acha uzwazwa ww..mtoa mada ameuliza mtulia yuko wapi..jibu hilo sio porojo zako za ki ccm
 
Ni kawaida ya Wapemba. Kuna trafgic mmoja aliikamata gari ya Mpemba yenye samaki. Wakaishikilia mpaka samaki wakaharibika. Mpemba akamwambia traffic police kwamba na yeye atachina kama wale samaki. Jamaa akajibu jeuri.
Kilichofuatia sasa hivi jamaa ni paralysis..
Nadhani hii ni suluhisho zuri

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya concept ni rahisi na hazihitaji elimu kubwa na kuna baadhi ni elimu kubwa inahitajika.Hoja yangu ilikua simple sana na haikuhitaji degree kuelewa nini naongelea.Sasa kitendo cha kukurupuka tu kisa HISIA zimetawala kichwa chako,napata wasiwasi sana na elimu yako.Elimu yako unaijua wewe.Rudi kwenye comment yangu then soma reply yako je kuna correlation? Kabla hujajibu kitu au kuquote comment ya mtu,jiridhishe umeelewa kabisa sio kuwa mkurupukaji.Wengine hatupendi watu wanaokurupuka hasa kuquote hoja zetu.
Ushasema una wasiwasi na elimu yangu, we unahisi nina elimu gani? Swali dogo unatolea maelezo kama unaandika insha?
 
Hivi wabunge si wanaapishwa wakati wa mikutano ya bunge?
Haya huyo hapo msikilize
 
Mimi mwenyewe nimemuona duka la Edgars hapa johanesburg akifanya manunuzi
Siku hizi unafanya kazi za ulinzi kwenye maduka ya wasauzi? Au ni bodyguard wa mwenye namba ya rais? Hongera zako kwani hata slaa ametokea kuuza biskuti za mhindi kule Canada na sasa ni mlabata kule Sweden sijui atamkumbuka mhindi yule!
 
Ila huyu Mtulia dhambi ya usaliti aliyofanya na alivyosababisha damu za watu kumwagiga laana ile itamtafuna popote hadi kiama chake. Ajue pia kuwa usaliti ni laana ambayo itaendelea ktk family yake hadi kizazi cha 4!
 
Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018
Halafu hakuna polisi aliyeadabishwa, Dah nchi hii ya maajabu kweli
 
Nimeipata kutoka kwa mtu wa karibunaye: Mtulia anaalisha kwenye mitobo yote iliyopo mwilini mwake.
 
Back
Top Bottom