The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Kwahio kawaje yeye?Eti kasababisha MTU kufa na wengine kujeruhiwa
Kwahio kawaje yeye?Eti kasababisha MTU kufa na wengine kujeruhiwa
Inawezekana hata si albadil bali mkono wa Mungu umekuwa mzito juu yake.Ha ha ha ha.. Albadiri si kitu cha mchezo mchezo
Wazanzibar ni hatari sana ! kitu kimejibu !Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !R.I.P
Ile damu ya akwilina iliyomwagika na kuchanganyana na ubongo ni direct proportional na damu inayotoka huko 0713 ya huyo aliyeiba kura
Wazo safi hiliSawa pamoja na kwamba yupo huko ccm baada ya kutusaliti wananchi ni vema akafanyiwa maombi ili awe sober.
Kwahiyo Akwilina kumbe alikuwa mzanzibarWazanzibar ni hatari sana ! kitu kimejibu !
Jiongeze kidogo mjombaKwahiyo Akwilina kumbe alikuwa mzanzibar
Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Miaka ya nyuma kule kijijini kwetu ilikua ukitaka kutoa laani kali itakayoteketeza ukoo au hata kizazi kwa laana hiyo. Walkkua wanamtoa kafara binti ambaye ni bikira. I guess that binti ataondoka kama sio watu basi kizazi cha watu fulani
Hahaha...kama Zitto alishiriki kampeni kwa kudhamiria uenda ikawa kweli
inawezekana ni ugonjwa uitwao haemorrhoids ..Labda Akiwaona wataalamu wa upasuaji watamsaidia...nasikia anatokwa na damu matak*ni, bleed sio bleed, yaan balaa tupu
Pesa ya walipa kodi, pesa za Umma iliyotumika kumnunua, kurudia uchaguzi, kuhujumu wana chadema, kuwapiga, kuwabambikia kesi, kuwakamata, kuua watu na kujeruhi wengi inawauma watanzania kwani wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo tu, si kwa ajili ya kuwahujumu Wapinzani kisha kurudia chaguzi kwa gharama kubwa na kuwapora ushindi washindi na kumsimika mshindi feki toka CCM. Laana toka kwa wapiga kura zote zinamwandama Mtulia kwani hawakumchagua kwenye sanduku la kura.DAMU YA BINTI MBICHI MREMBO YULE INAMLILIA... AKFANYA MZAHA WANAWEZA KUKUTANA.. MTOTO MDOGO KAMA YULE KAFA KWA UZEMBE WA MTULIA KWA SABABU ANGEENDELEA NA UBUNGE WAKE HATA KAMA ANGEAMUA KUTOIKOSOA SERIKALI, ANGEOKOA KODI ZETU NA DAMU YA AKWILINA