Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Damu za watu haziendi bure, laana inamtafuna yeye na kizazi chake. We jitoe ufaham tuu ukijifanya ndio msemaji wa hyu baradhuli
 
Kuna ukweli wowote kuhusiana nahali yake?? Au porojo tu???
 
Nikupe mfano tu, ulishawahi kutumia kondom?? Tendo la ndoa ni tamu sana, lakini cha ajabu ukishakojolea hiyo kondom hata kuishika unaona kinyaa.


Used Mtulia kinondoni

Kauli yako imenikumbusha kina Kafulila na Machali! Wako wapi makamanda hawa wa kiwango?! Au ndio hadithi ya big gee?!
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaonekana? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Utamsikia wapi wakati kakatazwa na mwenyekiti wako kufanya siasa kama Chakubanga? Akatiwe fungu na yeye "aunge mkono juhudi" kama una HAMU ya kumsikia.
 
Back
Top Bottom