Tangu lini kichaa akaapishwa.naona mnapoteza muda, siwaamini hata mara nusu, mtulia katulia kama jina lake anasubiri kuapishwa tu huko kwao sijui kibiti, sijui maneromango
Tangu lini kichaa akaapishwa.naona mnapoteza muda, siwaamini hata mara nusu, mtulia katulia kama jina lake anasubiri kuapishwa tu huko kwao sijui kibiti, sijui maneromango
Hakuna linaloshindikana chini ya jua, mwache aendelee kujitoa ufaham tu ipo sikuMnataka Kusema Na Mkuu Naye Anaweza Kurogeka ?
Adi sasa amesha wakojoleaaa na mmesha shika mkojo wakeHaa haa Kweli?Huyo dada kipimo chake ni 26/4.Baada ya hapo anaweza kuwa hero or zero.
AHSANTE MUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.Breaking news!
Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.
Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.
Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.
Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.
Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo
muhimu sana.Rest in eternal peace akwilin Mungu atakulipia damu yako amen![]()

kwako wewe habari njema ni risasi kuua mtu, kuweka janja janja nec ili kuchelewesha haki za mawakala na wagombea kwa ujumla?Hizi ndio zinazopendwa na wapenda habari mbaya.
kabisaaa.Hakuna linaloshindikana chini ya jua, mwache aendelee kujitoa ufaham tu ipo siku
aisee malipo n hapahapaAHSANTE MUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
kama ni kweli anaumwa.
chama kile mh hapana eti cha jenga nchi wapi kama mtu ameteteleka tuwange tunambizana sio kukanusha siku akishindwa kabisa ndio utasikia ooh alikuwa na tatizo kidogo tu.Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Huyo mbona kitambo sana. Kabla ya upofu alianza ku delishaziwa Shaamsihii Vuahii Naahodha, baadaye ukafuata upofuNabisha ! Mtukufu Komando Salmin Amour Binadamu aliyejipa ukubwa kumshinda Mtume , anawezaje kuwa kipofu ? Acheni utani bhana .
Mtulia ukiondoa haya yaliyomtokea kwenye siasa,he is a good fella.Nimewahi kukutana naye kwenye shughuli za Kibunge,ni kijana aliyetulia sana sijui kitu gani kilimsibu!
Na Weweee Kumbe Ni akili za kuzoa zoa tu!
Approach za mng'oa kucha ndiyo muafaka kwa taifa hili ili liweze kurudi kwenye mstari.Anavaa Always kama sisi dada zake na anacheka mwenyewe
dawa imeingia we tulia mzeeNa Weweee Kumbe Ni akili za kuzoa zoa tu!