Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Kwenye paji la USO au pembeni juu ya sikio?
Linaweza lisiwe kosa la Kinyozi, labda Waziri Mkuu ni mlemavu
Hv masikio hayatakiwi kuoneka eeee????? Au yake yatakua yamejificha... si eti eeee????
Hapo anakosea jinsi ya kumchonga na upande wa juu kule mkono wa kushoto nywele ni fupi zaid kuliko upande wa kulia hapo inatakiwa afanye kubalance hizo nywele juu na kwa ndani amchonge vizur
tangu nianze kumuona huyo PM nywele zake zpo hvyo hvyo labda ndo style yake
Naona kama vile mtoa mada amelenga kwenye viwanda vidogo vidogo vya unyoaji nywele.Hii thread inasaidiaje kuboresha uchumi wa viwanda ama kuboresha maisha ya watanzania?
Kinyozi na yeye hapangiwi anyoe vipi, anajua anyooshe nywele wapi au wapi apindishe na PM na yeye anatulia kimyaaaa, kila mtu na ufundi wake bhanah.
hahaha, daah nimecheka sana fremu ya kichwa ina-determine shingo🙄🙄🙄🙄Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.
Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weka picha mkuu ya huyo sama mahela tumechisheHalafu mheshimiwa naye kama anapaka yale madude anayopaka kichwani sam mahela wa itv
Tuwasiliane...kuna kinyozi mzuri sana angemfaa kwa style yake ya kunyoa PM. Binafsi hua inaniuma sana PM ni ntanashati sana tatizo kinyozi.