Ila Vinci huw vilaza, kwa PM ni tofaut sanaMimi nadhani kichwa chake ndivyo kilivyo.
Upande mwingine una nywele na upande mwingine hauna.
Aina hiyo ya vichwa tunavyo wengi sana.
Umesoma vatican nn?Tupo kazini mkuu na ndo kazi tuliosemea
Kinyoz ana cheti fekiView attachment 506698
Mbona hii yuko sawa tu, Kinyozi ni Jipu
hahaaaaa kitete hicho mwenzenuHahahaha naona umemscan mhe.